Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Sasa mbona hueleweki, umeanza na Subaru umemaliza na ford ranger
 
Sifa ya strength na kupita sehemu korofi nakubaliana na wewe ila kwenye stability na mwendo nakataa. Jeep wrangler haikuundwa kwa ajili ya mwendo mkali labda umechanganya na jeep grand Cherokee.
Na pia jeep wrangler inakuja na engine ndogo ya 2.0l Turbo, engine kubwa ni 3.6L V6.
Jeep wrangler iko class moja na Land Cruiser 70 japo kwenye uimara Land Cruiser ni CHUMA cha pua
 
Nadhani unaonangelea uwezo wa eough terrain wakati watu wanaongelea speed. Make no mistake gari nying ambazo ziko designed na focus ya kupita barabara ngumu , kwenye speed si sana
 
Huijui Ford Ranger. Halafu hio Hilux mnaikuza sana. Halafu zina madereva wanapenda sana ligi. Nishamnyoosha mmoja kutoka Same kuelekea Mombo niko na Crown na mwingine nishamnyoosha kuanzia kuanzia Bagamoyo Msata niko na VW. Yaani nikiiona Hilux na wanavyopenda ligi lazima nohakikishe Nastia adabu halafu namuacha ahangaike na Lori lake.
 
Kuna moja inaweza kuwa na nguvu ya kutoka 0-100kph haraka kuliko ingine. Obvious hip itamuacha mwenzie.
 
Mkuu nimeshuhudia juzi ford ranger akimkanda V8 kama imesimama maana Ile ni ford ranger raptor ni hatari sana
Usisumbuke ipo Ford ranger ya 2020 2.2 Diesel ipo hapa Arusha mwambie aje na gari yake anayoiamini haya madudu ni mepesi sana..nilipokua naileta kutoka SA huko Mbeya tulikua na jamaa wana V 8 walikua wana Bendera ya Ubalozi wa DRC tulipofika Iringa nilipokua naweka mafuta walisema wataagiza Ranger kwa safari ndefu na Contact walichukua walikua hawajui kuwa Ford Ranger yupo hivi Road harafu balance ya kutosha..Jan hii ntaleta Mazda CX-5 za Petrol na Diesel ntaona moto wake Subaru ipo SH 9 kweli ni gari ila Ford ni moto mwingine..
 
V8 ipi?
 
Ahsante kwa review ya zaidi ya gari tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…