TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Alale kunakostahili.kama bata kala sana huyu mzee vibinti kapiga sanaa daaah nikikumbuka zile gari nyekundu nawaza sana.
 
Reactions: ram


RIP Tanzania siasa mingi alafu sisi raia hatupendi kufanya common, say simple analysises...

Inaezekana vipi mtu mmoja akafanya ufisadi one man army?

Mie simfahamu wala sijawahi msikia before habari hiyo ya BOT.

any way siezi kuwa kama kila mtu tupo tofauti.

RIP!
 
HIVI ZILE SHULE ZILIKUWA ZINAITWA RIYUMBA AU KAYUMBA NIMESAHAU JAMANI HEBU NIAMBIENI
 
Wanadai watu Wema huwa hawadumu! Lakini sijajua kama Wema wake ni wa jinsia moja au wote! Pumzika kwa amani A Liyumba!
Yawezelana kabla ya kufa kwake alishatubu nakukiri makosa yake mbele yamungu wake.
 
Ni miongoni wa Watanzania wachache waliokuwa na upeo wa hali ya juu kuwahi kutokea Tanzania kando ya akina Chenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…