Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Ameoa shida sio raha hujui tu umewahi kuchumbia matajiri wewe mie nimewahi kuwa mtu wa tajiri . Wanakaraha zao sana tu , unyumba zero , wanapenda kukunyanyapa utaona tu wana sign zao , wanakera unaweza kukuta friji imejaa ila njaa huna , ni vituko sana , wanakufanyia kama familia ikishakuwa ijioni usikae nao wewe kula ondoka, nenda chumbani.

Saa ya sherehe lazima muende wote unaburuzwa tu maana huna raha na mume wako, unaingia magari ya kisasa , unakula sehemu zakisasa ila huna raha yamoyo. Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini
Hahahaha kwahiy ukaachwa?
 
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.
Mkuu samahani sana lakini naomba tu nikwambie kuwa ww ni zero brain
 
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wen
Ukiwa unasema hvo ujiangalie na wewe unatokea wapi? Hiyo kauli yako itafakari Tena!!!!!.
 
Ameoa shida sio raha hujui tu umewahi kuchumbia matajiri wewe mie nimewahi kuwa mtu wa tajiri . Wanakaraha zao sana tu , unyumba zero , wanapenda kukunyanyapa utaona tu wana sign zao , wanakera unaweza kukuta friji imejaa ila njaa huna , ni vituko sana , wanakufanyia kama familia ikishakuwa ijioni usikae nao wewe kula ondoka, nenda chumbani.

Saa ya sherehe lazima muende wote unaburuzwa tu maana huna raha na mume wako, unaingia magari ya kisasa , unakula sehemu zakisasa ila huna raha yamoyo. Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini
We vumilia mzalishe yakikushinda ondoka ila watoto watakula bata tu
 
Back
Top Bottom