Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Umeidogosha sana taasisi ya ndoa kwa kuifanya iwe ya kibiashara zaidi.

Kama kumuoa mtoto wa Mwinyi ni ujanja, hata mimi nilikiwa na chance kuoa.

Ila aliponiletea mashauzi nilimpiga kibao, nikamaliza mashauzi.

Mm nasema hiv sabab kaka yake rais namjua kabisa n namb yake ninayo huyu bint yake ndo simjui. Na mm miaka ijayo naoa hapohapo
Kila la kheri
 
Ameoa shida sio raha hujui tu umewahi kuchumbia matajiri wewe mie nimewahi kuwa mtu wa tajiri . Wanakaraha zao sana tu , unyumba zero , wanapenda kukunyanyapa utaona tu wana sign zao , wanakera unaweza kukuta friji imejaa ila njaa huna , ni vituko sana , wanakufanyia kama familia ikishakuwa ijioni usikae nao wewe kula ondoka, nenda chumbani.

Saa ya sherehe lazima muende wote unaburuzwa tu maana huna raha na mume wako, unaingia magari ya kisasa , unakula sehemu zakisasa ila huna raha yamoyo. Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini
Mwali una balaa umenitumia vikumakuma njoo chumbani tuyajenge
 
Back
Top Bottom