Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aangalie tena vizuri anaweza kufanywa ndondochaChunga sana kijana usipende mtelezo pesa haileti furaha kwenye ndoa.
Ah wap weweee...Duh mkuu wewe kweli kalagabaho.. hivi huyu akitekwa na wazee wa kudai fidia unajua madhara yake kwa taifa la Zanzibar?
😂😂 Na siku hizi wanakamsemo ..there is always a first time in everything.We acha tu aendelee kupenda vya bure , atamponza mwaikimba
Mm nasema hiv sabab kaka yake rais namjua kabisa n namb yake ninayo huyu bint yake ndo simjui. Na mm miaka ijayo naoa hapohapoDuh mkuu wewe kweli kalagabaho.. hivi huyu akitekwa na wazee wa kudai fidia unajua madhara yake kwa taifa la Zanzibar?
Kwa hiyo mdukuzi nitalindwa?Mm nasema hiv sabab kaka yake rais namjua kabisa n namb yake ninayo huyu bint yake ndo simjui. Na mm miaka ijayo naoa hapohapo
Umeidogosha sana taasisi ya ndoa kwa kuifanya iwe ya kibiashara zaidi.
Kama kumuoa mtoto wa Mwinyi ni ujanja, hata mimi nilikiwa na chance kuoa.
Ila aliponiletea mashauzi nilimpiga kibao, nikamaliza mashauzi.
Kila la kheriMm nasema hiv sabab kaka yake rais namjua kabisa n namb yake ninayo huyu bint yake ndo simjui. Na mm miaka ijayo naoa hapohapo
Mtoto wa rais maokoto yapo. Kwahiyo maisha yatakuwa murua bini salama.Kwani mtoto wa raisi ndo mke mwema?
Acha kabisa 😂😂😂😂😂 Na siku hizi wanakamsemo ..there is always a first time in everything.
NdiyoKwani mtoto wa raisi ndo mke mwema?
Karibu sana kwenye ndoa yangu huku BwereuKila la kheri
Mwali una balaa umenitumia vikumakuma njoo chumbani tuyajengeAmeoa shida sio raha hujui tu umewahi kuchumbia matajiri wewe mie nimewahi kuwa mtu wa tajiri . Wanakaraha zao sana tu , unyumba zero , wanapenda kukunyanyapa utaona tu wana sign zao , wanakera unaweza kukuta friji imejaa ila njaa huna , ni vituko sana , wanakufanyia kama familia ikishakuwa ijioni usikae nao wewe kula ondoka, nenda chumbani.
Saa ya sherehe lazima muende wote unaburuzwa tu maana huna raha na mume wako, unaingia magari ya kisasa , unakula sehemu zakisasa ila huna raha yamoyo. Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini
We muache kuna siri kubwa kwenye utajiri😁Aangalie tena vizuri anaweza kufanywa ndondocha
Malaika wangu tuma picha pm hapa sioni vizuri mamilo 😊
Si lkn mlikubaliana mwanaume masikini apendwe na mama yake tu, sasa inakuaje mnajazana huko lkn?Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini