Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Acha kujishusha utu wako.
 
Umeidogosha sana taasisi ya ndoa kwa kuifanya iwe ya kibiashara zaidi.

Kama kumuoa mtoto wa Mwinyi ni ujanja, hata mimi nilikiwa na chance kuoa.

Ila aliponiletea mashauzi nilimpiga kibao, nikamaliza mashauzi.
 
Nakataa mkuu.. labda mzazi.

Yani wew na uoe kwake ulindwe, kama nani?
Makazi yao lazima yalindwe mkuu na armed police,
Yule ni amiri jeshi mkuu ,kama waziri anakindwa sembuse mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…