Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Duh mkuu wewe kweli kalagabaho.. hivi huyu akitekwa na wazee wa kudai fidia unajua madhara yake kwa taifa la Zanzibar?
Msamehe bure,hajui intelligence inavyo fanya kazi, na kijana unaweza kuta ni wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ikulu ya Zanzibar!!!
 
Tafutahela kihalali utapata,ufukara sio sifa
Hakuna mahali nimesema ufukara ni sifa. Ufukara siyo sifa. Lakini haina maana ya kuwahusudu wenye pesa na kuwaona wao kama miungu kisa wana pesa.

Mwenye pesa na fukara wote ni binadamu tu.
 
Acha kulinganisha umasikini na utajiri? Kila Mwanamke ndoto yake ni kuolewa ushuani
 
Kwa hiyo wewe unajishusha na kujidhalilisha sababu hauna pesa?

Binafsi sioni walichonizidi mpaka nifike hatua ya kuwahusudu. Hata akiwa mtoto wa Elon Musk I will never bow to a human being under any circumstances.

Kama wewe unamwona mtoto wa Gulam ni bora kukuzidi wewe hiyo ni akili yako, sio mimi.
 
Punguza maneno...kama huna watoto basi siku moja utakuwa nao.
Na watakutukana kwann uliwazaa akati huna kitu ni fukara huna cha kuwarithisha kwaiyo bora kukaa kimya kuliko kuropoka kama Jinga flani ivi ambalo halina maadili.
 
Money is everything
Money speaks all languages

""If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and the jobless""

#YNWA
Endelea kuwa na utumwa wa kuamini,unaweza kufanikiwa kupitia mwenza mwenye hela.

Kwa mwanamke kupenda hela hasizo zivujia jasho sawa, ila kwa mwanaume kuna walakini na unaweza ukafanywa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…