Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Yuko mwanaasha sema atakuwa pisi kali sana.Sio mbaya... hiv kikwete hana mtoto wa kike kweli ?
mimi ningeoa haijalishi form alipata division gani.
yupo pia jesca magu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko mwanaasha sema atakuwa pisi kali sana.Sio mbaya... hiv kikwete hana mtoto wa kike kweli ?
Msamehe bure,hajui intelligence inavyo fanya kazi, na kijana unaweza kuta ni wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ikulu ya Zanzibar!!!Duh mkuu wewe kweli kalagabaho.. hivi huyu akitekwa na wazee wa kudai fidia unajua madhara yake kwa taifa la Zanzibar?
Hakuna mahali nimesema ufukara ni sifa. Ufukara siyo sifa. Lakini haina maana ya kuwahusudu wenye pesa na kuwaona wao kama miungu kisa wana pesa.Tafutahela kihalali utapata,ufukara sio sifa
K haijawahi kuwa ile ile acha kupotosha ummaTulia acha wenge K ni ileile hamna cha maana huo utajir ni kudra
Acha kulinganisha umasikini na utajiri? Kila Mwanamke ndoto yake ni kuolewa ushuaniAmeoa shida sio raha hujui tu umewahi kuchumbia matajiri wewe mie nimewahi kuwa mtu wa tajiri . Wanakaraha zao sana tu , unyumba zero , wanapenda kukunyanyapa utaona tu wana sign zao , wanakera unaweza kukuta friji imejaa ila njaa huna , ni vituko sana , wanakufanyia kama familia ikishakuwa ijioni usikae nao wewe kula ondoka, nenda chumbani.
Saa ya sherehe lazima muende wote unaburuzwa tu maana huna raha na mume wako, unaingia magari ya kisasa , unakula sehemu zakisasa ila huna raha yamoyo. Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini
Ni binadamu wenye class tofautiHakuna mahali nimesema ufukara ni sifa. Ufukara siyo sifa. Lakini haina maana ya kuwahusudu wenye pesa na kuwaona wao kama miungu kisa wana pesa.
Mwenye pesa na fukara wote ni binadamu tu.
Kwa hiyo wewe unajishusha na kujidhalilisha sababu hauna pesa?Punguza maneno ya kujifariji
Kipo walichptuzidi = HELA
Hela itamfanya akale bata Bahamas, New York, Dubai kotee anakotaka kwenye A star Level Hotels
Kwani we hupendi kila mwezi kwenda kula bata ulaya?
Kwamba wewe na Mtoto wa Gulam (Mohamed Dewji) kwa kuwa wote ni vijana wa kiume basi Mnafanana?
#YNWA
"Class tofauti"Ni binadamu wenye class tofauti
Absolutely 💯"Class tofauti"
Does that make you a lesser human?
Watu wabishi! nilivyokuwa Police nilikua napangiwa lindo alipokuwa anaishi mtoto wa MkapaNakataa mkuu.. labda mzazi.
Yani wew na uoe kwake ulindwe, kama nani?
Mkuu huko za chinichini bogi kwa kitenge lini wazee?Watu wabishi! nilivyokuwa Police nilikua napangiwa lindo alipokuwa anaishi mtoto wa Mkapa
Punguza maneno...kama huna watoto basi siku moja utakuwa nao.Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.
Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.
Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa
Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
View attachment 3054607
Mke mwema maadili, hukosiKwani mtoto wa raisi ndo mke mwema?
Endelea kuwa na utumwa wa kuamini,unaweza kufanikiwa kupitia mwenza mwenye hela.Money is everything
Money speaks all languages
""If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and the jobless""
#YNWA
khaaahMkuu huko za chinichini bogi kwa kitenge lini wazee?