Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.

Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.

Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa

Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
View attachment 3054607
Sio mbaya... hiv kikwete hana mtoto wa kike kweli ?
 
Mbona Kama huwezi pambana Kama mwanaume , unataka Maisha malaini ambayo hujui watu waliumia ,walitoa machozi,damu kiasi Gani ili wewe uje kuyaenjoi bila ya wewe kulipia gharama zako.
Ivi mtu unajisikiaje kwanza kuwa na kitu ambacho hakijatokana na nguvu zako za mwilini ama kichwani?
Haya bana pambana ulishwe upate Maisha mazuri kwa kuoa. Kuna mmoja akapata binti wa bill Clinton
 
Ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha SGR kuwaona watoto wa Marais au matajiri ndiyo watu wa maana kukuzidi wewe.

Marais, matajiri na watoto wao hawana cha tofauti kwenye miili yao kukuzidi wewe. Wote wanamwili kama wewe, wanaenda choo kama wewe na watakufa na kuoza kama wengine. Acha kuwahusudu kisa vyeo au mali.

Usijidharau na kuwaona wao ndiyo watu kukuzidi. Ishi maisha yako kwa nafasi uliyonayo. Sisi wote hatuwezi kuoa watoto wa Rais, wala wote hatuwezi kuwa Marais au matajiri.

Dunia ili iwepo ni lazima kuwe na madaraja kati ya watu na watu lakini hiyo haiwafanyi walioko madaraja ya juu kuwa bora zaidi ya walioko chini.

Wote tunavuta pumzi moja na wote tumebeba mavi tumboni.
 
Tafutahela kihalali utapata,ufukara sio sifa
 
Nilichogundua watu wengi huwa hamjui mahusiano ya watoto wa vigogo/maraisi au matajiri.kiufupi wewe hata kama una vihela huwezi kuoa mtoto wa raisi au kiongozi mkubwa eti kisa umempenda au mmependana,mara nyingi ndoa hizo huwa za kupangwa,binti au kijana wa raisi anataka ndoa anatoa taarifa then jukumu wanapewa Intelligence security aka usalama ili kutafuta nan wa kumuoa au kuolewa na mtoto huyo wa mh.kwahiyo ni mchakato,hapo inachunguzwa unataka kuoa kwenu mna uwezo gan,magonjwa, ni lakini kikubwA ni kiusalama zaidi sababu ukishamuoa au kuolewa na mtoto wa raisi mambo mengi ya siri utajua,kikubwa pia kwenu muwe na mpunga au uwe tajiri ndo sifa ya kwanza,huwa hawaangalii sjui Love sjui
 
Hii Movie ni ya Universal au Columbia?

#YNWA
 
Ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha SGR kuwaona watoto wa Marais au matajiri ndiyo watu wa maana kukuzidi wewe.

Marais, matajiri na watoto wao hawana cha tofauti kwenye miili yao kukuzidi wewe. Wote wanamwili kama wewe, wanaenda choo kama wewe na watakufa na kuoza kama wengine. Acha kuwahusudu kisa vyeo au mali.

Usijidharau na kuwaona wao ndiyo watu kukuzidi. Ishi maisha yako kwa nafasi uliyonayo. Sisi wote hatuwezi kuoa watoto wa Rais, wala wote hatuwezi kuwa Marais au matajiri.

Dunia ili iwepo ni lazima kuwe na madaraja kati ya watu na watu lakini hiyo haiwafanyi walioko madaraja ya juu kuwa bora zaidi ya walioko chini.

Wote tunavuta pumzi moja na wote tumebeba mavi tumboni.
Punguza maneno ya kujifariji
Kipo walichptuzidi = HELA
Hela itamfanya akale bata Bahamas, New York, Dubai kotee anakotaka kwenye A star Level Hotels

Kwani we hupendi kila mwezi kwenda kula bata ulaya?
Kwamba wewe na Mtoto wa Gulam (Mohamed Dewji) kwa kuwa wote ni vijana wa kiume basi Mnafanana?

#YNWA
 
Hamna mistake mbaya hasa kuithaminisha ngono kwa hela na ndio maana mapenzi siku hizi yamekosa maana kabisa.

Mabinti wanaforce wapate wenye hela na wapo tayari hata kuharibu ndoa ya mwanamke mwenzake kwa kutembea na mme wa mtu.Ukija kwa vijana wa kiume siku hizi kuna wimbi la vijana wanaodate na mishangazi ili mradi wapate fedha na hata kijana akitaka kuoa nae analenga (mwanamke mwenye fedha).Wazazi nao nyumbani kila siku wanawambia vijana wao tuletee mtu wa maana,huyo wa maana sio eti mtulivu, mwenye heshima au mcha Mungu bali ni mtu wenye fedha.

So sababu ya fedha mapenzi siku hizi hayana maana, ndio maana uvumilivu hamna na badhi ya ndoa nyingi za siku hizi zimepoteza maana.
Money is everything
Money speaks all languages

""If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and the jobless""

#YNWA
 
Back
Top Bottom