Kitu ambacho wanatakiwa wakijue ni kwamba wewe ukiwa na taaluma yako upo labda tamisemi au labda wizarani na soja mwenye taaluma hiyo hiyo hapo hamuwezi kulingana yani soja atakupiga kubwa mno Jeshini unapoishia wewe yeye ndo anaanza mfano labda wizara ya MD analipwa 1.5m Jeshini analipwa zaidi ya hiyo mazee na stahiki ulizonazo anazipata zoote bado na maposho ko kikubwa hapo hawawezi kufanana.
Labda kwa wizara ya mambo ya ndani lakini na wizara ya mambo ya ndani unapigwa gepu kwenye maposho pia halafu wa wizarani makato mengi pia
*Wizara ya mambo ya ndani MD analipwa 1.5m ambayo ni sawa na wizara ya afya
Na ndio maana wengi wao wenye akili walikimbilia majeshini Kuja kula hela ambazo hazina longolongo
Wanalipwa kawaida ,siri ya wanajeshi hawana elimu ni tatizo kubwa ,wanakimbilia mikopo hawajui hata compound interest ..Mtu anachukua mkopo wa miaka mingi ila anapata tabu ya kurejesha ..Hapo kanunua kiwanja au gari anaanza kusuffer miaka mingi kurudisha mikopo...Hawana maendeleo kwa kweli.
Posho ya vinywaji inawafanya wawe walevi ,hao PTE hapo na posh zote wamemaliza ,ila iyo mil 1.5 ni posho ya afisa pale LATRA..
Utakuta mshahara 800k, mwenzie hiyo ni pesa ya nyumba 🤣🤣
😀😀 Ameogopa kukutag aiseeWapi wewe wakati unaogopa hata kunitag, weka weka hiyo mishahara yenu uone ,uwekewe mzigo hapa utakimbia ...
Hao jamaa wanatengenezewa mtazamo mbaya juu ya wengine ,nawachora sana ; wanajifanya wao special ,wanajua kupigana ,kiufupi wanadanganywa sana ...Wangekuwa na maendeleo kuliko wafanyakazi wote. Kama viapo kila Taasisi wanakula na wako social kabisa... Unafikria wanapigana vita kila siku wanavyojiona special 🤣🤣-
- Posho ya extraduty ya waendesha mashtaka ni 2m hiyo Posho hakuna afisa wa kawaida upande wao anapata
- medical officer wa BoT linganisha na Medical officer wa kwao
Ila kama ndio hizo posho tunazosikia huko mtaani basi mko juuJombaa hakuna watu waongo kama huyu mtu, jamaa ni jobless flani Sema ndo hivyo anaamua kujikamua tu hapa hamna mtu hapo
Mimi sio darasa la saba na hata kama ningekuwa darasa la saba mzee huwezi nizidi hela hta kwa dawa nakwambia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unashangaa kwanza darasa la saba ukae wapi kwenye sitting allowance labda uwe mbunge..Uliza watu wanafanyia nn ,watu wanajadili Mambo ya msingi kama kipind hiki cha kufunga mwaka ; kuandaa bajeti na ripot mbalimbali..
wewe darasa la saba nenda kwenue mijadala ya punyeto.
Mhh! Ungejua hata usingeongea ila sio makosa yako na nilikuambia siku ukipata kazi uje hapa tuanze upya mazee🤣🤣🤣🤣Dogo unalia ,unamiliki pikipiki ndefu zile ,ulikimbia umande wa shule .🤣🤣
Kaaa chini utulie hauko eligle kwenye sitting allowance..Mimi sio darasa la saba na hata kama ningekuwa darasa la saba mzee huwezi nizidi hela hta kwa dawa nakwambia
Hakuna mtu aliyedharau taasisi nyingine we chalii na ukirudi tu nyuma hapo kama unakumbuka nilisema kila taasisi ni muhimu sasa unavyokuja kusema kuwa tumedhrau nani kasema na siku zote ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.Hao jamaa wanatengenezewa mtazamo mbaya juu ya wengine ,nawachora sana ; wanajifanya wao special ,wanajua kupigana ,kiufupi wanadanganywa sana ...Wangekuwa na maendeleo kuliko wafanyakazi wote. Kama viapo kila Taasisi wanakula na wako social kabisa... Unafikria wanapigana vita kila siku wanavyojiona special 🤣🤣
Mtu hajitambui anadharau walimu na madaktari wakidharauliwa wao wanaanza kuleta mikwara za kizamani .
Ila mko juu sana mkuu,Mimi sio darasa la saba na hata kama ningekuwa darasa la saba mzee huwezi nizidi hela hta kwa dawa nakwambia
Soma huko juu eti unadharau walimu na madaktari ,punguzeni ujinga!Hakuna mtu aliyedharau taasisi nyingine we chalii na ukirudi tu nyuma hapo kama unakumbuka nilisema kila taasisi ni muhimu sasa unavyokuja kusema kuwa tumedhrau nani kasema na siku zote ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Wewe mwenyewe ulikuja na hoja yako tena hakuna mtu aliyekuomba kwamba madaktari ndo muhimu nchi hii tukaleta fact kwamba hii nchi bila vyombo vya ulinzi na usalama hakuna atakae kaa sasa nani aliye dharau hapo ila wewe kujifanya kutaka kulinganisha
Lakini pia itategemea yuko kwenye Taasisi gani, kama yuko Gaming board of Tanzania (gbt),ewura,tcaa,latra,ewuraccc, humfkii hata nusu na la7(kama kweli ni la7).Mimi sio darasa la saba na hata kama ningekuwa darasa la saba mzee huwezi nizidi hela hta kwa dawa nakwambia
Bro pesa ya nyumba ya afisi taasisi fulani mwaka 2020 ilikuwa ni 600k...Ana pesa ya mawasiliano , ana mpaka pesa ya parking wka rate ya 10k per day ...Jeshini bado sana ,naishi nao mpaka kesho hauwezi kujidanganya....🤣🤣Jeshini ungeona watoto wa CCM wote ,japo Mhe.Kikwete alikuwepo na kuongeza maslahi ila hakuna mwanamke ... Jeshini wengi wanaishi kwa mikopo ,kawaida sana labda wapige mshindo qa kwenda vitani...Sasa hizo taasisi kwa mwaka 2023 walishatoka mishahara ya 2.5 wako juu.
Kozi wanaenda kwa miaka miwili hapa tunalinganisha na afisa wa taasisi mwenye training za kutosha ,safari za kikazi ,afisa mwenye posho ya sikukuu ...Afisa ambaye ana sitting allowance ,ana posho mpaka ya vocha ya simu ..Ulishawahi kusikia pale TPA watu kikao walipewa bahasha zina laki 5 ...Miala ya Magufuli ile ,watu wanakilinda ofisi kama 50k daily wanafanya watakachp ni kama pesa ya karanga.
Kuna pale Dp world kuna wana wanacertifcate wanavuta mil 4 ...Nje ya pesa ya msosi,overtime na vitu vingine vingi ...Wewe unacheza ...Weka mshahara wa luteni wako niweke entry level ya afisa pale ,BOT,TCAA ,TASAC ,UWERA ,TCRA...
Sure
Kawaida tu ila huyu jamaa jobless bado sana eti anajisifia kuwa ana kazi kumbe hana kitu mara Leo halmashauri mara sijui wapi sasa mtu wa halmashauri mhh haya bhana ngoja nsiongee mengi nsije nkaambiwa naleta dharau kikubwa naheshimu kazi ya kila mtu humu ila wewe nakuambia mara kwa mara tafuta kazi ndo uje hapaIla mko juu sana mkuu,
Nani kadharau waalimu we jamaa emu nioneshe nilipo dharau basiSoma huko juu eti unadharau walimu na madaktari ,punguzeni ujinga!
Ila nimegundua wewe ni dishi asee hivi unajua hata kusoma kweli wewe emu nonetheless sehemu yoyote ambayo nimedharau, tofautisha kudharau na kuonesha umuhimuSoma huko juu eti unadharau walimu na madaktari ,punguzeni ujinga!
Unafikiri kwanini haruhusiwi? Hata boda boda au bajaji haruhusiwi, kwasababu ni mtu muhimu na kapatikana kwa gharama kubwa, hatuwezi kumruhusu akae kwenye usafiri wa risk na kudgalilisha taasisi ya JW.Zinn mkuu umeshiba story za vijiweni kuhusu JW ,tunao ndugu na washkaji huko ,maofisa wa jw wana advantage ya mikopo nafuu pesa ,ofisa wa jw harusiw kupanda usafiri wa public kma mabasi
Tulikuwa kwenye mada ya madaktari, mbona take home yao ya 987K mtu aliyesoma miaka sita husemi kitu? Ni hela hiyo au kutaniana tu?Anaogopa kutaja salary scale, anawasifu la7 PTE wanaopata 1.5m
Btw wanaowazidi ni kwa sana ni watumishi wa tamisemi except watu wa ardhi wa tamisemi hao Wana hela
Hamna kitu kama hicho, hauko informed so kaa kwa kutulia, pia simaanishi JW ndo wanalipwa nyingi kuliko taasisi zote nchini hapana, ila nabishana na nyie kwa jinsi mnavyowa-inderate kwa kupost mishahara ya uongo ambayo ni midogo kuliko uhalisia.Labda ni600,000 bila kujumlisha posho
Hao hawawezi elewa, pia na heshima juu mtu unapata, daktari bingwa tena general surgeon anafokewa na mkuu wa mkoa au mwenyekiti wa chama hadharani, lakini JW mliwahi ona wapi hata Rais wa nchi anawafokea fokea?Kitu ambacho wanatakiwa wakijue ni kwamba wewe ukiwa na taaluma yako upo labda tamisemi au labda wizarani na soja mwenye taaluma hiyo hiyo hapo hamuwezi kulingana yani soja atakupiga kubwa mno Jeshini unapoishia wewe yeye ndo anaanza mfano labda wizara ya MD analipwa 1.5m Jeshini analipwa zaidi ya hiyo mazee na stahiki ulizonazo anazipata zoote bado na maposho ko kikubwa hapo hawawezi kufanana.
Labda kwa wizara ya mambo ya ndani lakini na wizara ya mambo ya ndani unapigwa gepu kwenye maposho pia halafu wa wizarani makato mengi pia
*Wizara ya mambo ya ndani MD analipwa 1.5m ambayo ni sawa na wizara ya afya
Na ndio maana wengi wao wenye akili walikimbilia majeshini Kuja kula hela ambazo hazina longolongo