Inakumbusha ya Amir Jamal kuzikwa Canada.Ingefaa zaidi azikwe Kigoma kwa kuwa kule ana historia kubwa na ndefu!!
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakumbusha ya Amir Jamal kuzikwa Canada.Ingefaa zaidi azikwe Kigoma kwa kuwa kule ana historia kubwa na ndefu!!
RIP
Nakumbuka wananchi wake walivyokuwa wana mbeba juuu kwa juuu
Pumzika kwa amani mzee
Siku anatia Mguu kigoma kwa mara kwanza palikuwa hapatoshi.R.I.P Daktari!
Huyu alisaidia sana kuifanya Kigoma kuwa ndio ngome kuu ya upinzani kupitia CHADEMA!
Hiyo ndiyo hali halisi , ukishahamia CCM wanakutumia kwa muda tu kwa maslahi yao, alafu badae wanakutupa kule.Ka historia kadogo,,,
Huyu Kaburu alikuwa mpinzani toka Enzi za Nyerere akafukuzwa shule form 3 eti kosa alimtoboa Nyerere macho (picha )
Baada ya kuanzishwa vyama vingi alirudi toka USA akajiunga na upinzani, nakumbuka mwaka 1994 nilihudhuria mkutano wake wa hadhara na akanishawishi nikajiunga na chama chake. Alisababisha vijana wengi wa sekondari kule kigoma kuingia matatani kwa kuiga staili yake ya uvaaji na akawa katibu mkuu wa CDM halafu akasepa akaenda CCM. Toka wakati huo sikuwahi tena kusikiliza wanasiasa na nawapuuza hadi leo. RIP Kaburu
Alikuwa na mgogoro na mbowe,nakumbuka hata kampeni za 2005 mbowe alikuja kigoma lakini alifanya kampeni pekeake bila uwepo wa kabourou licha yakwamba alikuwa mbunge kigoma.Siku anatia Mguu kigoma kwa mara kwanza palikuwa hapatoshi.
Alisaidia sana kuujenga upinzani kigoma ,
Baadae sijui alipatwa na nini Dr Amani.
R.I.P...Dr..
watu wanajitoleaga!!!
Mazishi yapo kigamboni sehemu gani mkuu?Sipend kuto kumzika huyu Jiran yangu pale ujijiAliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma mjini Dkt. Amani Walid Kabourou, ametangulia mbele ya haki.
Alikuwa kalazwa Hospitali ya Muhimbili. Mazishi yanafanyika Kigamboni Dar Es Salaam.
Mola ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Ameni.
KWA UFUPI:
Marehemu alizaliwa 23 Mei, 1949.
Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini (CHADEMA) kabla ya kuhamia CCM mnamo mwezi Septemba 2006 na kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma mwezi Oktoba mwaka 2012.
Aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki kuanzia 05 Juni, 2007 hadi 04 Juni, 2012
Walimuona kama mkombozi wao,nadhani kipindi hicho kigoma haikuwa na msomi wa kiwango cha elimu alichokuwa nacho Kabourou.watu wanajitoleaga!!!
Sijui naye angesikilizwa labda angelisema kama ya Hizza Tambwe ili aondoke kwa amani!Siku anatia Mguu kigoma kwa mara kwanza palikuwa hapatoshi.
Alisaidia sana kuujenga upinzani kigoma ,
Baadae sijui alipatwa na nini Dr Amani.
R.I.P...Dr..
CcmNi mwanachama wa Chama gani? R.I.P