rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Lile jamaa nilikuwa nalionaga kama tahira hivi...
Yani lipo lipo tuu.... Sijui Chadema walilitoaga wapi
Ndugu una macho lakini huoni, tatizo la CHADEMA ni Mbowe ila kwa kuwa mnajifanya vipofu basi endeleeni na upofu wenu.Mbowe sio mjinga alishatambua hilo,hasa pale vikaragosi tokea chama kingine walikuwa wanataka eti Mbowe angatuke kisa hanunuliki.
Kumbuka Chadema sio lelemama.
Si unaona hata yule chapombe wa kule banabana alikuwepo kwenye msafara wa viongozi wa Chadema ambao wako kwenye kesi hii lakini yeye hakushtakiwa.mwana wa Tanzania,
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi (Wabunge) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?
Hata wa Magu hautokuwa na kikomo ikiwa ataendelea kuwa rais indefenitely!Ila Uenyekiti wa Mbowe hauna kikomo kikatiba. Teh teh teh.
Wenye chama chao wanaamini ndiyo kinaimarika zaidi sasa hivi. [emoji16]!
#MwambaTuvushe! #5Tena!
Wenye chama chao wanaamini ndiyo kinaimarika zaidi sasa hivi. 😁!
#MwambaTuvushe! #5Tena!
Nasikia substitution kibao hazijafanyika tokea mwenyekiti mpya aingie,watu wamekalia mabechi mkuu ndiyo maana nauliza atakuwa nani pale sasa hiviUnauliza vyeo ccm mkuu?
mwana wa Tanzania, Huyu tangu mwanzo hakuwa mpinzani. Kipindi chake cha ukatibu mkuu aliiua Chademakabisa. Kumbe alikuwepo pale kimkakati. Mbowe hongera kumshtukia huyu bwana.. Karibu una maliza maotea shambani. Chama kibaki safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA haiwezi kuzuia watu kununuliwa ama kujiuza , hii si kazi yetu , bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba kabla KANU ya Kenya haijafa na kuzikwa , ilifanya kama inavyofanya CCM, ilinunua kila imtakaye akiwemo Raila Odinga aliyepewa Ukatibu Mkuu.Utanisamehe lakini nadhani mnahitaji kufanya kazi ya ziada kubadilisha chama chenu kipo kwenye hali mbaya. Mnachofanya sasa ni kama Magu anavyojifanya uchumi wa nchi unaendelea vizuri.
Uliwahi kuwashauri au unatafuta sifa tu?Chadema mnavuna mlichopanda kwa sababu hamshauriki.
Kama hamkuona mchango wa Slaa baada ya kuhama itakuwa Mashinji?Mashinji aliwahi kuimarisha chama mpaka useme chama ndio kinapoteza uimara kwa yeye kuhamia ccm? Huyo domo zege ndio alichangia cdm kuwa waoga.
Hii usaliti wa Mbowe utakitafuna CHADEMA miaka mingi ujayo.!
ulitakiwa uniulize kwanini Mashinji alivuliwa ukatibu Mkuu ?