kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize chief engineer of transfer mzee Polepole. Kwa hapa kwetu ni kama mchezaji wa akiba Simba akichukuliwa na LipuliKaaaz kweli kweli
Mko kwny Kikao cha kupanga mikakati lakin hujui nani kesho anarejea Ccm ndani ya kikao chenu
Sent using Jamii Forums mobile app
mnabomoa mnajenga mnaimarisha mnadhoofisha chama? mnatakiwa mrudi nyuma muangalie mliowazoa alafu muangalie hali ya huko mnakookoteza je malengo yenu yametimia ? mmekimaliza au mmekiimarisha chama kubwa la wana✌✌?Juzi humu nilisema bado Mashinji leo hii tayari sasa bado mmoja huyu wa ubungo
Kuna kitu kinachorwa usione hiyo ama ama ukafurahia; unapomsema Mbowe sijui unachukulia kua angekwepo nani ndo wasingeama. Chukulia kua mh Mbowe nae ameamia CCM lawama utampatia Mnyika auMimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.
Atuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kesi inaenda kua kama kesi ya Mh Adam Malima na Jamhuri. Kuna mdau mmoja aliniambia kua mahakama imeshapokea taarifa ya namna ya kuanza kupunguza washtakiwa kwenye ile kesi ya uchochezi.Baada ya kukaa na kujitathimini unatuletea ufundi wa mashairi chadema kuna matatizo kaa ukijua!
My point ni kuwa lowasa alikuwa na wafuasi wake wengi tu ambao baada ya yy kuhama wakamfuata huko alikoenda na hao wafuasi wake ndio walifanya chadema ipate kura nyingi 2015
Endelea kuota ndoto za mchana!!!Nilishasema,2020 chadema akipata 5 MPs ajatambike,chama cha ajabu sana hiki
Sent using Jamii Forums mobile app