Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Chakaza, Baada ya kukaa na kujitathimini unatuletea ufundi wa mashairi CHADEMA kuna matatizo kaa ukijua!
 
Kuna haja ya kuipongeza CCM kwa kujitambua kuwa hawana namna bali kuendesha biashara ya kudhoufisha upinzani.

Ina maana hawana wanachama imara kuwapiku wa kutoka upinzani.
Hi haishangazi ndiyo matokeo ya kuongozwa na akili ndogo. "Zero brain"

Kulubuni kubambikia kesi kuwapiga watu picha za uchi chini ya mtutu was polisi ili kuwadhalilisha. Pathetic. Mapambano lazima yaendelee
 
Juzi humu nilisema bado Mashinji leo hii tayari sasa bado mmoja huyu wa ubungo
mnabomoa mnajenga mnaimarisha mnadhoofisha chama? mnatakiwa mrudi nyuma muangalie mliowazoa alafu muangalie hali ya huko mnakookoteza je malengo yenu yametimia ? mmekimaliza au mmekiimarisha chama kubwa la wana✌✌?

hapo kati mlitulia kumbe salio lilikata 🙄 🤣 juzi salio limeingia kutoka SCB mmeanza kumega mzigo.. endeleeni tu..
 
Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.


Atuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinachorwa usione hiyo ama ama ukafurahia; unapomsema Mbowe sijui unachukulia kua angekwepo nani ndo wasingeama. Chukulia kua mh Mbowe nae ameamia CCM lawama utampatia Mnyika au
 
.
By Sangu J
.
Leo Februari 18, 2020 tumeshuhudia uamuzi wa msomi mwingine na Kigogo ndani ya CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji, na kuamua kuingia kwenye na Sera za Chama cha Mapinduzi.
.
Dkt. Mashinji ameeleza. sababu mbalimbali za uamuzi wake lakini kubwa ile anayosema alitamani zaidi kuwa sehemu ya watu wanaoleta maendeleo katika nchi yake ya ahadi ya Tanzania.
.
Japo wanasema ni uamuzi wake kikatiba lakini mimi napenda nijadili kidogo athari zinazoweza kujitokeza kwa chama chake cha zamani hasa kuelekea kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi na baada ya uchaguzi, na moja ya athari kubwa wanayoweza ipata CHADEMA kuondoka kwa Mashinji ni kukosa mvuto kwa wasomi.
.
Unajua kwa siasa za Tanzania Chama Tawala kwa kawaida huwa anakua na mvuto kwa kundi la wasomi kutokana na kuwa nafasi mbalimbali ambazo zinaweza kuwafaa wasomi, lakini vyama vya upinzani nchini kitu pekee kinachoweza kuwavutia wasomi ni uwepo wa wasomi wenzao ndani ya chama, ndiyo maana miaka fulani uliikuta CHADEMA iliweza kupenya mpaka Vyuo Vikuu kwa kuwa na wasomi mbalimbali kama Prof. Safari, Baregu, Kitila Mkumbo, Esther Matiko na wasomi wengine kama Slaa, Dkt. Mashinji, na kuliifanya CHADEMA kuwa kivutio kwa baadhi ya wasomi kwa sababu wenzao walikuwepo huko.
.
Kuondoka kwa Prof. safari, Slaa, na Mashinji ni miongoni mwa mapigo ambayo yameikuta CHADEMA na yanaweza kuipoteza kuelekea uchaguzi wa 2020 na 2025 kwa sababu kuna baadhi ya Analysis za kisomi wanazikosa kama ilivyo kwa CCM.
.
Dkt. Slaa alishawahi kusema siasa ni mchezo wa hesabu za kupata watu, na mfumo bora zaidi ambao ulikuwa unatumiwa na vyama vya upinzani ni kukuza vijana kutoka Vyuoni ambao idadi kubwa huwa wanavutiwa zaidi na Prof. na Dkt.
.
Naiona CHADEMA itakayokuja kufanana na CUF miaka 10 baadaye kwa sababu ya kukosa wasomi, ambao chachu ya kufanya tafiti ndani ya chama.
.
#MaoniYangu #KijanaMzalendo
#IloveTZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kukaa na kujitathimini unatuletea ufundi wa mashairi chadema kuna matatizo kaa ukijua!
Hii kesi inaenda kua kama kesi ya Mh Adam Malima na Jamhuri. Kuna mdau mmoja aliniambia kua mahakama imeshapokea taarifa ya namna ya kuanza kupunguza washtakiwa kwenye ile kesi ya uchochezi.
Mstakiwa wa kwanza kutolewa nje ya kesi ni Mashinji akifuatiwa na Msigwa.
Kuanzia leo hamtamwona Dk. Mashinji mahakamani wadau.
 
Hao hao mliosema Mashinji ni moja ya makatibu wakuu mizigo CDM leo hao hao mnarudi kusema alikuwa turufu.
 
My point ni kuwa lowasa alikuwa na wafuasi wake wengi tu ambao baada ya yy kuhama wakamfuata huko alikoenda na hao wafuasi wake ndio walifanya chadema ipate kura nyingi 2015

Angeanzisha chama chake ili tuwaone hao wafuasi wake, au angeenda TLP tungewaona kwa uhakika hao wanachama wake.
 
Lah katika hii Dunia(Tanzania) kwa yanayoendelea unaweza ukafikiri watu wenye akili na misimamao hawapo! Sijui niingie kwenye Siasa!
😡😡😡😡
 
Mashinji ni tego la dikiteta uchwara lilopangwa kimkakati na mastermind mbowe, muda si mrefu dikiteta uchwara atanasamo tu si mnajua yule anazuzuka PhD holders
 
Anayefikiri anafanya haya kuimarisha CCM na kudhofisha upizani anajidamganya sana!
Kwa hiki kinachotokea ni kama chuma kinapitishwa kwenye moto!
 
sangujoseph,

Acha mbwembwe

Kaondoka,full stop,deal with it...

Who cares?

Kabla yake kulikua hakuna watu?

Amekuja,kaondoka,watakuja wengine,wataondoka,sasa sijui who cares about who comes and who goes?

Hatuwezi zuia watu,kaamua kuondoka,tufunge milango?Nonsense

Kaondoka,athari au kusiwe na athari nobody cares!

Mbowe aliona hii nonsense tangu mwanzo,that nigga is Michael Jordan of this shyt!

We will weather this up like real niggas!
 
mimi ni msomi wa maana tu na bado sijashawishika na huyo Mashiji kujiunga na CCM tena baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu.

Kipimo cha haya yote ni tume huru ya uchaguzi.
 
Dakika chache baada ya kuhamia CCM, Bwana Mashinji amebadili cover photo ya ukurasa wake wa Twitter na kuandika "Remember you have a family to feed, not a community to impress".
FB_IMG_1582035135327.jpg

_
Nini maoni yako?
 
Back
Top Bottom