Sizitaki mbichi hizi Sungura akagumia!Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita
Hao mliokuwa mnawapigia chapuo uenyekiti chadema wote wapo ccm unataka useme ninMsijali endeleeni kumkumbatia Mh. Mwenyekiti kwakua hamtaki kukubali kwamba CHADEMA kuna ombwe la uongozi na dawa pekee iliyopo ni kumfurusha Mwenyekiti Aikael na kusuka upya timu yenu.
Keshokutwa Mdee naye anaunga mkono juhudi alafu tutamwita msaliti pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita
CHADEMA mmekwisha nyinyi ni chama cha mtu binafsi msitegemee watu wenye akili timamu kuendelea kuwaunga mkono. Endeleeni na SACOS ya Mbowe
Jicho la tatu!Kama mliyagundua hayo kwa hiyo mnayoiita intelijensia ya chama kwanini hamkumvua uwanachama na kumfukuza chamani huyo Mashinji? Yani mtu anasuka mipango yote hiyo halafu mnambakisha chamani wa nini? Tena akiwa Katibu Mkuu wa Chama kitaifa?
Haiingii akilini
CHADEMA mmekwisha nyinyi ni chama cha mtu binafsi msitegemee watu wenye akili timamu kuendelea kuwaunga mkono. Endeleeni na SACOS ya Mbowe
3.Tanzania tuna matatizo kwa kuweza kuwa na mtu anayekubalika kama msomi, halafu akawa na upeo mdogo hivi.
101% ya wanasiasa Bongo njaa zao ni beyond the natureKwa elimu aliyonayo na hayo aliyoyafanya imekuwa vema kama angekaa kimya.Kwa kuandika hivyo kunatoa picha mbaya hata kwa mwanaccm makini kwamba huyu hajaja kusapoti maendeleo yetu bali amekuja tu kwa ajili ya tumbo letu.Ningependa watu kama hawa 2020-2025 kwenye siasa zetu wawe mbali kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi Ni porojo..kwanini hawakutoa kauli yoyote Hadi ahame? Hawajui maana ya pre-emptive strike?Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita
Sizitaki mbichi hizi!
Kama walikuwa wanalijua hilo, kwa nini hawakumpumzisha kabla ya uchaguzi?
CHADEMA is bleeding heavily.
Hao ndiyo mtaji mkubwa wa ccm
Kama mliyagundua hayo kwa hiyo mnayoiita intelijensia ya chama kwanini hamkumvua uwanachama na kumfukuza chamani huyo Mashinji? Yani mtu anasuka mipango yote hiyo halafu mnambakisha chamani wa nini? Tena akiwa Katibu Mkuu wa Chama kitaifa?
Haiingii akilini
Hamna lolote jitafakarini!Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita
Mwisho atajikuta Mbowe peke yake. Na bado atasema alijua yatatokea hayoSizitaki mbichi hizi!
Kama walikuwa wanalijua hilo, kwa nini hawakumpumzisha kabla ya uchaguzi?
CHADEMA is bleeding heavily.