Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Kwa elimu aliyonayo na hayo aliyoyafanya imekuwa vema kama angekaa kimya.Kwa kuandika hivyo kunatoa picha mbaya hata kwa mwanaccm makini kwamba huyu hajaja kusapoti maendeleo yetu bali amekuja tu kwa ajili ya tumbo letu.Ningependa watu kama hawa 2020-2025 kwenye siasa zetu wawe mbali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijali endeleeni kumkumbatia Mh. Mwenyekiti kwakua hamtaki kukubali kwamba CHADEMA kuna ombwe la uongozi na dawa pekee iliyopo ni kumfurusha Mwenyekiti Aikael na kusuka upya timu yenu.

Keshokutwa Mdee naye anaunga mkono juhudi alafu tutamwita msaliti pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaangali jinsi wasomi wa Tanzania wanavyokubali kuaibishwa na kuhojiwa live na kukubali chama cha CCM ni cha Magufuli na kuwa eti CHADEMA ni chama cha Mh. Mbowe. Kufilisika kwa wanasiasa waKtanzania kunatia simanzi sana, Acha sisi tuendelee na mapambano ya kiFikra ilikuweza kuwa na nchiya kweli yinayoheshimu vyama vingi, haki za binadamu, bunge huru na katiba mpya.

Msijali endeleeni kumkumbatia Mh. Mwenyekiti kwakua hamtaki kukubali kwamba CHADEMA kuna ombwe la uongozi na dawa pekee iliyopo ni kumfurusha Mwenyekiti Aikael na kusuka upya timu yenu.

Keshokutwa Mdee naye anaunga mkono juhudi alafu tutamwita msaliti pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mliokuwa mnawapigia chapuo uenyekiti chadema wote wapo ccm unataka useme nin
 
Kwa mwana cdm yeyote ambaye alikuwa anafuatilia mambo yanavyo kwenda ndani ya chama lazima akubali kuwa Mashinji lazima angemfuata aliye mpeleka cdm ambaye ni Lowasa.

Hiyo haina ubishi wowote kuwa Mashinji aliingizwa kwenye uongozi wa juu na Lowasa
Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita

In God we Trust
 
Na maccm endeleeni kuwa kikoba cha Pombe
CHADEMA mmekwisha nyinyi ni chama cha mtu binafsi msitegemee watu wenye akili timamu kuendelea kuwaunga mkono. Endeleeni na SACOS ya Mbowe

In God we Trust
 
Kama mliyagundua hayo kwa hiyo mnayoiita intelijensia ya chama kwanini hamkumvua uwanachama na kumfukuza chamani huyo Mashinji? Yani mtu anasuka mipango yote hiyo halafu mnambakisha chamani wa nini? Tena akiwa Katibu Mkuu wa Chama kitaifa?
Haiingii akilini
Jicho la tatu!
 
3.Tanzania tuna matatizo kwa kuweza kuwa na mtu anayekubalika kama msomi, halafu akawa na upeo mdogo hivi.

Usomi huwa unakuzwa sana.

Mimi nimeshakutana na wasomi wengi tu walio na ujinga unaoweza kumwacha mtu mdomo wazi.

Nina colleagues kibao tu wa Kihindi. Karibu wote ni wasomi viwango vya Master’s.

Wanajua kidogo wanachokijia kwenye fani yao tu [IT].

Nje ya hapo, ni wajinga wa kutupwa. Hata common sense yao inatia shaka.

Hata mabilionea nao vivyo hivyo tu. Ushamsikia Michael Bloomberg akiongea? Hahahaaa.

Juzi wagombea uteuzi wa kugombea urais wa chama cha Democrats huko Marekani wameshindwa kumtaja hata Rais wa sasa wa Mexico.

Na hawa watu ni wasomi wazuri tu. Huyu Amy Klobuchar nadhani ni mwanasheria. Wenyewe wanajiitaga ‘learned’. Pia ni Yale graduate. Hilarious.

Kwa elimu aliyonayo na hayo aliyoyafanya imekuwa vema kama angekaa kimya.Kwa kuandika hivyo kunatoa picha mbaya hata kwa mwanaccm makini kwamba huyu hajaja kusapoti maendeleo yetu bali amekuja tu kwa ajili ya tumbo letu.Ningependa watu kama hawa 2020-2025 kwenye siasa zetu wawe mbali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
101% ya wanasiasa Bongo njaa zao ni beyond the nature
 
Eti mtu ana PhD huyu anakuwa wa hovyo hovyo. Mbona hawa wasomi wetu walioko siasani ni machizi? Cheki akina Ndaliwize hata kusema itakuweka lock up anasema 'i will put you in". Cheki akina 'propesa' Lee Pumber, wasomi wa hovyo, cheki Meko ni Dokta eti 😂😂
 
Sisi wananchi bado tuna Imani na chama Cheri wala hatusumbuki na wajinga wachache wanaojitoa chamani
 
Ilitakiwa aondoke mwenyewe kwa kumletea self distress
Kama mliyagundua hayo kwa hiyo mnayoiita intelijensia ya chama kwanini hamkumvua uwanachama na kumfukuza chamani huyo Mashinji? Yani mtu anasuka mipango yote hiyo halafu mnambakisha chamani wa nini? Tena akiwa Katibu Mkuu wa Chama kitaifa?
Haiingii akilini

Kitochi Original
 
Back
Top Bottom