Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume msomi anapopenda njia nyepesi kupata kula anaweza hata kutoa tako lake ili afurahishe mdomo wake kwa chakula kitamu.Dakika chache baada ya kuhamia CCM, Bwana Mashinji amebadili cover photo ya ukurasa wake wa Twitter na kuandika "Remember you have a family to feed, not a community to impress".View attachment 1361832
_
Nini maoni yako?
Bado wengine wataondoka baada ya kumaliza kazi yao maalumu ambayo wameshindwa kuifanya kwa ufanisi hivi wale wanao record mahojiano bado wapo?Namsikiliza hapa anajitetea .baada ya kutolewa nafasi ya Ukatibu Mkuu kaona tonge limedondoka kaamua kuhamia CCM.
Aisee unataka kusema alipenyezwa?Unafikiri hana njaa huyo jamaa.
Kule alikuwa kwa special task anarudi kupeleka reports ndio wakome CHADEMA kuparamia watu wasiowajua.
Nakukumbusha ishu ya Dr Ulimboka, unaikumbuka? Ila ili tuliache tutaongelea baadae ila CHADEMA inaenda kuwa TLP soon.
Mimi si mwanasiasa ila hili CCM inabidi wawe makini isije ikawa ni Trojan Horse, just thinking by words
Bora amekuwa muwazi kuwa maslahi binafsi ndiyo yamempeleka huko tofauti na ile misukule mingine iliyokaririshwa kuwa inaenda kuunga juhudi. At least amejiweka huru hivyo tumuache akatafute mkate wake na familia yake.Dakika chache baada ya kuhamia CCM, Bwana Mashinji amebadili cover photo ya ukurasa wake wa Twitter na kuandika "Remember you have a family to feed, not a community to impress".View attachment 1361832
_
Nini maoni yako?