Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Nimependa jamaa wanavyoheshimika na kunyenyekewa wakifika upande wa pili.
Ni kama mchezaji ametoka Barcelona na kwenda timu nyingine anavyoheshimika
 
Nyani Ngabu,
Kitu kingine ni definition nzima ya usomi, kwamba mtu mwenye mi degree ndiye msomi.

Wakati kuna mi autodidact hata shule haikuenda huko.
 
Kwakweli vyama vya upinzani Tanzania vimepigwa na corona. Yani vinashambuliwa kama vikundi vya uasi..Siasa za CCM za kishamba sana...Nani kawadanganya vyama vya upinzani havina Mchango kwenye maendeleo ya taifa hili? Mnataka mang'ombe tu, mkiyajapa nikulia tu mbooooooo! Haya bwana...

..sasa hivi ccm imebakia na ujanja-ujanja tu wa kutengeneza matukio.

..lakini matatizo ya wananchi yako palepale. Vijana wengi hawana ajira na wanazidi kuongezeka. Na wale wenye ajira vyuma vimekaza.

..zamani ccm walikuwa wakizungumza unaona wamewazidi wapinzani kielimu na kiushawishi. Siku hizi wanachama wamebaki kuwa watu wa matusi, ubabe, na vitisho.

..Na wapinzani wanaonekana kuwazidi ccm kwa hoja. Na hoja zao hazijibiwa bali zinazimwa kwa mabavu na vitisho.

..binafsi sina uhakika kama kuhama kunaiongezea ccm sifa yoyote ile ambayo walikuwa hawana tangu mwanzo.

..CCM inatakiwa ipambane na chanzo cha wananchi kuunga mkono wapinzani.

CCM wapambane na chanzo cha hofu yao dhidi ya vyama vya upinzani. Is it the fact that CCM has not been able to come up with solutions to the challenges facing the wananchi in their daily lives?

..Vyama vya upinzani vinaweza kufa au kudhoofika vyote. But, then what? Je, CCM ndiyo ita-perform vizuri?
 
Hizi Ni porojo..kwanini hawakutoa kauli yoyote Hadi ahame? Hawajui maana ya pre-emptive strike?
Haikua lazima waseme ila walishasema kwa vitendo! Hakukua na haja ya kwenda public! Kama hawakutumia hio preemptive strike haimaniishi ni porojo
 
CCM wazee wa kuzoa zoa..

Ila kwa Diwani aka Meya mmekwama....ongezeni dau ziwe 2b walau tuone uwezekano.
 
Hapa kiukweli yapo mengi yanayofichwa ni wakati sasa wa mwenyekiti kuweka wazi ni vigezo gani alitumia kumpata mashinji.

mpaka kumpa cheo cha juu kabisa,

Au ni kule kuchochea mgomo wa madaktari ikawa ni cv na uzoefu au kuna la ziada nyuma ya pazia ni washirika wa kibiashara.

Bavicha wanataka kuhoji lakini wataanzia wapi chama hakina demokrasia
Je ni nani anataka kujaribu kuionja sumu kwa kuilamba?
 
Tutasikia mengi,kikubwa wanasiasa wote WaTz,upinzani au tawala ni unafiki mtupu,hakuna anayesema jambo ukamwamini asilimia hata 2%.....wanapambania maisha yao tu
 
Utawaona oktoba!

Mpaka Oktoba? Pitia kwenye vituo vya kujiandikisha hivi sasa uone kama kuna hao wanachama wake wapo. Halafu ukitaka kujua hakuwa na watu bali aliwakuta kuwe na tume huru ya uchaguzi kisha uje utoe mrejesho.
 
Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.


Atuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaongea kwa kugonga meza....' kwanza kitendo cha kumfitini katibu wetu mkuu Dr Slaa!'.. mwishowe atajikuta katibu mkuu wake ni mkewe.
Maana sasa Cdm imebaki katika sura ya kifamilia na kishikaji.
Wameuua upinzani wa maana, umebakia upinzani wa ruzuku!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume Tanzania walio wengi hawana ujasiri, uwoga uliopitiliza, kutokuwa na msimamo, kudeka etc. Tanzania wapinzani wa kweli atabaki Zitto na wenzie akina Mbowe basi. Walobaki wanaume suruali.
Kuna siku utakuja kuumia sana kutokana na hii coment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utayari wa ccm ameuona baada ya kutemwa ukatibu mkuu? Kazi kweli kweli! Awe mkweli tu kwamba ameona chadema hana ulaji tena! Ilikuwaje akawa ansubiria kuteuliwa tena? Akawadanganye wajinga wenzie akina pole pole!
 
Back
Top Bottom