Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Ukiitwa kuthibitisha mahakamani utaweza ?
 
Mkuu umeniwahi, uko sahihi, Makonda ni shetani mala Mia kuliko sabaya
 
Sheria huwa sizielewi, kwani ili mtu kushitakiwa huwa ni matakwa ya nani??
Mtu muarifu kama makonda ili ashitakiwe ni mpaka nani apende??

Sheria ni upuuzi kabisa
Ndiye kiongozi pekee aliyepigwa ban na Marekani. Iundwe tume kumchunguza kisha ashtakiwe
 
Mambo ni hatua kwa hatua Dogo. Baada ya Ole Sabaya, anafuata Mbowe atakayepigwa MAISHA. Ndio wataangaliwa wengine kama Ridhiwan, Mchengerwa, nk.
 
Ninachofuraia ni kuwa naye kakaa maabusu, kanyea ndoo, na hukumu imetoka dhidi yake 30 yrs in jail.
Na ata akihachiwa itabidi ajifiche kwan tukimnasa uku mtaani tutamchana chana mbwa yule.
Namuona Sabaya kama BABU Seya ni swala la wakati na muda utatuambia
 
Huyu akiachwa ni double standards
 
Ili haki itendeke na ionekane imetendeka, Paul Makonda lazima apelekwe mbele ya sheria ajitetee kuhusu shutuma zinazomkabili toka kwa "wahanga" wa utawala wake . Ana tuhuma nyingi sana ambazo akitendewa kama Sabaya, watu watajitokeza kutoa ushahidi.

ANA SHUTUMA NYINGI ZA UKATILI, UPORAJI ETC, ATENDEWE HAKI NA SI KUONEWA

Makonda should b brought to face justice!
 
Ningekua Makonda, sasa hivi ningekua nimeshakimbia nchi, nachagua nchi yenye vurugu Kama Afganistani , Centra africa republic au Mali.
 
Huyu anaitwa asiyekulikana, wewe umemjuaje? Hahahahahaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…