Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi Huo
Kumekuchaaa
Ashitakiwe kwa Ujambazi wa kutumia silaha.
Naunga mkono hoja Ila nasikia kajamaa mganga wake Yuko vizuri hakawezi kuguswa na mtuTulitarajia Media kubwa kama Clouds mtende haki, muende kumshtaki makonda au bashite kwa uvamivi wa kituo chenu na kusababisha taharuki maana pale haikua uwanja wa vita ilikua ofisini.
Lazima kila mmoja avune alichopanda wala hakuna kuoneana aibu, ni muhimu kuzingatia hilo kwanza ili kutenda haki.
Huyu makonda kaumiza wengi ikiwa ni pamoja nawkubambikia watu kesi za madawa ya kulevya, kuteka watu, kuua na kunyang’anya mali za watu wengine.
Lazima sheria ichukue mkondo wake.View attachment 1976034
View attachment 1976035
Hapo akiingia kuvamia kituo cha habari cha clouds usiku wa manane.
Watiwe adabu kidogo ili wajue ubaya haulipi na wote ni sawa,kuachiwa free kabisa sio kuwafundisha, nilikuwa na mjomba wangu mpumbavu kweli kweli alikuwa mhasibu wilayani huko kazi yake kuiba na kutoka na wanawake za watu kwa sababu ya vipesa vya wizi, basi alikuja kufungwa kwa hizo tabia hizo, alipotoka kawa mtu mzuri kweli kweliTukiwa nchi ya visasi hatutafika, vijana walikuwa hawajui maadili ya uongozi, sasa naona akili kichwani
Mimi nilikimbia huko, Maana Upepo ulikuwa unaniendea vibaya sana, najipanga kurudi sasahahaha ulitaka waishie kutekwa,kufisilisiwa, kupotea bila kujulikana etc labda sasa hivi wana chance ya kuweza kushtaki, kusikilizwa na kuwa salama, ile nchi dadeki sijui ilikuwa inaelekea wapi
Unaongelea hawa wanafiki ...Tulitarajia Media kubwa kama Clouds mtende haki, muende kumshtaki makonda au bashite kwa uvamivi wa kituo chenu na kusababisha taharuki maana pale haikua uwanja wa vita ilikua ofisini.
Lazima kila mmoja avune alichopanda wala hakuna kuoneana aibu, ni muhimu kuzingatia hilo kwanza ili kutenda haki.
Huyu makonda kaumiza wengi ikiwa ni pamoja nawkubambikia watu kesi za madawa ya kulevya, kuteka watu, kuua na kunyang’anya mali za watu wengine.
Lazima sheria ichukue mkondo wake.View attachment 1976034
View attachment 1976035
Hapo akiingia kuvamia kituo cha habari cha clouds usiku wa manane.
Ushahidi uko wazi kabisa