Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Nazan atahama nchi hii ndan ya muda si mrefu Awez kukaa kuendelea kusubr kitanzi kama Cha mwenzake sabaya.
 
Naunga mkono hoja Ila nasikia kajamaa mganga wake Yuko vizuri hakawezi kuguswa na mtu
 
Tukiwa nchi ya visasi hatutafika, vijana walikuwa hawajui maadili ya uongozi, sasa naona akili kichwani
Watiwe adabu kidogo ili wajue ubaya haulipi na wote ni sawa,kuachiwa free kabisa sio kuwafundisha, nilikuwa na mjomba wangu mpumbavu kweli kweli alikuwa mhasibu wilayani huko kazi yake kuiba na kutoka na wanawake za watu kwa sababu ya vipesa vya wizi, basi alikuja kufungwa kwa hizo tabia hizo, alipotoka kawa mtu mzuri kweli kweli
 
#Kabambikia watu kesi za madawa ya kulevya,, kuteka watu,,kuua na kunyang'anya Mali za watu,,, hebu tupe kwanza ushahidi mdog wa hayo uliyoyasema
 
hahaha ulitaka waishie kutekwa,kufisilisiwa, kupotea bila kujulikana etc labda sasa hivi wana chance ya kuweza kushtaki, kusikilizwa na kuwa salama, ile nchi dadeki sijui ilikuwa inaelekea wapi
Mimi nilikimbia huko, Maana Upepo ulikuwa unaniendea vibaya sana, najipanga kurudi sasa
 
Na hawa viongozi wasitumie mgongo wa hatati Magufuli kujitetea kuwa walikuwa wanatekeleza maagizo toka juu.Magufuli sidhani kama aliwaagiza hayo ya kupora na kukata watu mikono na kuwacharanga mapanga.

Na wale waliompiga lisu risas Mungu yupo.Hata waliowatesa na kuwaumiza walinzi wa Mbowe Mungu yupo.
 
Reactions: PNC

Unaongelea hawa wanafiki ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…