Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Haiwezekani ukiona kiongozi yeyote anaetokana na
teuzo za Rais anakamatwa basi ni agizo la Rais unless otherwise polisi hawawezi fanya hayo na kama wakifanya hayo basi file litakwama kwa dpp kumbuka dpp ni tawi kwenye ofisi ya rRais hawezi peleka kesi mahakamani mpaka Rais na lazima asaini hilo file . Halafu makonda ni mnjanja anajua kuusoma upepo wa siasa ukiangalia sasa yupo kimyaaa toka akose ubunge anajifanyia mambo yake tu hata kwa media hayupo kabisa sasa kwa nature ya mama hana mpango nae kwanza sio tishio then mama anajua shidah hakuwa makonda bali mzee . Sasa huyu nguchiro 7 ya yeye alishataka kuendeleza hulka yake kwenye utawala wa watu ndo yakamkuta ya kumkuta.
 
Kuna siku US watafyatuka na kuweka wazi kila kitu na walisema wana strong information kuhusu Makonda kuwanyima haki za kuishi...raia wa Tanzania....ipo siku na si nyingi damu zilizomwagika huwa haziendi bure.....muda ni mwalimu mkuu
 
Kama waliotendwa hawajaenda kulalamika popote au kufungua kesi hakuna kitakacho endelea
 
Uzuri jinai haifi mpaka haki itendeke,hata baada ya kifo cha Makonda anaweza kushtakiwa tu.Ipo siku Makonda atakumbana na mkono wa sheria.Hata Magufuli,inabidi naye haki itendeke maana alifanya maovu mengi na utetezi wa Sabaya umethibitisha hilo.
Sawa kabisa. Magufuli ana kesi za kujibu nyingi.
 
Ni hadi hao wahanga waamue kwenda kufungua kesi mfano kama clouds walivamiwa na silaha badae wakasemehe wale wangeamua ndo wangemsokota vizuri
Jinai inakuwa handled na Jamhuri..in very rare cases can an individual institute a criminal case
 
Bashite ana mali nyingi Sana kuliko mshahara wake nyingi za uporaji, kwenye kesi feki ya madawa kapiga pesa ndefu Sana.
Akiachwa yataaminika ni kweli ccm inawalinda wahalifu.
 
Kuna siku US watafyatuka na kuweka wazi kila kitu na walisema wana strong information kuhusu Makonda kuwanyima haki za kuishi...raia wa Tanzania....ipo siku na si nyingi damu zilizomwagika huwa haziendi bure.....muda ni mwalimu mkuu
Silo ana information za ugaidi wa Mbowe na sio wa makonda
 
after Clouds tv invaded, he engaged to heavy battle against Ruge mutahaba, local infos tells that Bashite poisoned Ruge Mutahaba to death
 
Lakini Paul alifanya huo uhalifu baada ya kutumwa na shujaa
 
Huyu Makonda alikua msaidizi wa Lusipher, na Sabaya alikua msaidizi wa Makonda.
Lucipher hatunae, Makonda kajichimbia kusikojulikana, ingawa siku zake zinahesabika.
Sabaya uraiani tena baada ya mfueni 15 ijayo.
Chezea karma wewe[emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…