bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,054
- 2,348
Haiwezekani ukiona kiongozi yeyote anaetokana naClouds wanatakiwa kutoa taarifa polisi,polisi wafanye uchunguzi ili Kama kyna ushahidi Makonda akamatwe afuliwe mashtaka.Faili lienda kwa DPP Kama Kuna ushahidi DPP ampeleke Makonda mahakamani.Mahakama ikiona Makonda ana kesi ya kujibu,iendeshe kesi makonda ajitetee akipatikana na hatia ahukumiwe.
teuzo za Rais anakamatwa basi ni agizo la Rais unless otherwise polisi hawawezi fanya hayo na kama wakifanya hayo basi file litakwama kwa dpp kumbuka dpp ni tawi kwenye ofisi ya rRais hawezi peleka kesi mahakamani mpaka Rais na lazima asaini hilo file . Halafu makonda ni mnjanja anajua kuusoma upepo wa siasa ukiangalia sasa yupo kimyaaa toka akose ubunge anajifanyia mambo yake tu hata kwa media hayupo kabisa sasa kwa nature ya mama hana mpango nae kwanza sio tishio then mama anajua shidah hakuwa makonda bali mzee . Sasa huyu nguchiro 7 ya yeye alishataka kuendeleza hulka yake kwenye utawala wa watu ndo yakamkuta ya kumkuta.