Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kalikua kanyama eeeh. Sema wangekatundika qumamakee zake. Unauaje mama mjamzito bila hatia.kweli watu walikuwa na uchungu nae nimeona vid moja fb wamama wanasema ajafa huyo mchinjeni ajafaaaaa jaaman ..huyu mbwa kamuua mama mmoja mwenye mimba akammaliza na mwanae duhu....arusha siji dec wacha niishie marangu kha
Acha uoga wa kike huokweli watu walikuwa na uchungu nae nimeona vid moja fb wamama wanasema ajafa huyo mchinjeni ajafaaaaa jaaman ..huyu mbwa kamuua mama mmoja mwenye mimba akammaliza na mwanae duhu....arusha siji dec wacha niishie marangu kha
mnyamaaaKumbe kalikua kanyama eeeh. Sema wangekatundika qumamakee zake. Unauaje mama mjamzito bila hatia.
Wangekatesa kidgo kdgo yaani slowly kajue uchungu wa kuua wenzake au wangekata miguu yote.mnyamaaa
Wasela wa Arusha bwana,na mashati Yao draft😁😁
Hapana mimi km mwanafamilia pia napinga hili swala la kupeleka kikao Brunei kwa jinsi hali ilivyongumu kipindi hiki nashauri hiki kikao kifanyika tu Madale kwa mdgo wetuHuyu dogo katuchafulia sana jina la ukoo wa Dangote, sisi kama wanafamilia tunategemea kukaa kikao kizito Lagos au Brunei tujadili hii taharuki, kisha tutaleta mrejesho''Tunashukuru Kwa uvumilivu wenu.
🤣🤣🤣Ndio muasisi snoopy au sio?Joannah hayo mashati Arusha yanaitwa dogidogi
🤣🤣🤣Ndio muasisi snoopy au sio?
Miaka ya 80 mwishoni mpaka mwanzoni mwa 90 Snoopy Dog Dogy alikuwa anayavaa sana,ndio kisa Cha kuitwa dogdog!Sijajua dear inawezekana, mashati pendwa sana.
Wamemshayaa wena 🤣
Miaka ya 89mwishoni mpaka mwanzoni mwa 90 Snoopy Dog Dogy alikuwa anayavaa sana,ndio kisa Cha kuitwa do
Aisee na mabuti makubwa?Huwezi kuta chalii ya Arusha hana shati la style hyo ni mara chache sana
Shida ni Accessibility. Hao mafisadi wanalindwa na mtutu so kumfikia bila jamhuri kukutia nguvuni ni ngumu.WATU HIZI ADHABU WANAZO WAPA
HAWA VIBAKA,WAKABAJI WANGEKUWA WANAWAPA HAWA MAFISADI NA WEZI WA MALI ZA UMMA INGEKUWA SAFI SANA
Ova
Yeah na buti kubwa kuliko mguu wake! Ila hao ni hao ambao hawajastaarabika, huwezi kuta mtu ana elimu yake nzuri alafu avae hivo. Hii sidhaniAisee na mabuti makubwa?
Wezi wa Mali za umma sidhani kama wanaua watu na visu🙇🙇Nipo serious mkuu, ukute alifananishwa au labda ni yeye, ndo maana nikasema, ni vema angetiwa nguvuni, halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke. Hiyo mob justice, ingekuwa vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma, ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania, ila sheria hazichukui mkondo wake, jamii ingeheshimika kuliko kumuua mtu tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa lakini ndo hivyo.
Kuna habari za watu wengi tu kuuawa kwa kuitiwa mwizi huku si kweli na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza, siyo fair kabisa. Anyway ndiyo umma wetu huu.
We ni mwenzake na bado mnatafutwa usiongee ongee utaisha we komaaPole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.
Bro your a princessHii chalii naijua kwa Babu yake ni hapo one paru sokoni one alinifanya niwe nawahi home,Kuna siku jumapili jioni nakutana nae sombetini ananiambia nimchomeshe fegi nilikua sina coins ilibidi nimpe kaki bila kudai change
UYO sio choko tu! anamtoto kibaka mbagala hukoWewe ni choko haujawahi kuibiwa