Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Operation inaendelea OLASITI na maeneo mengine hatarishi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielew wewe na bichwa lako kubwa lenye komweTuliza kinyeo hicho nisije kukuchimba.
Kwanza hata kusoma hujui wewe, achilia mbali kuelewa kilichoandikwa.
Dawa yako ni kuchimbwa tu na hogo.
Kuna kesi kadhaa Kama huyu dogo.
Wanafanya Kama ulivyo pendekeza. Siku au miezi kadhaa anaachiwa huru au anatoka.
Alirudi mitaani anakuwa watu kadhaa.
Bora wamalizane nao Kama hivyo kabla hawapoteza uhai wa watu wengine wema.
Mmoja afe wengi wasalimike sababu ya kufa kwake.
Hiyo jamii ndiyo chanzo cha kuibuka kwa ALLY DANGOTE.
Jamii ya watu wanaohusudu uonevu kwa watoto, ukatili, uchawi, wizi, umasikini, dhuluma, unyanyasaji wa kingono, lazima itazalisha tu SERIAL KILLERS.
Ukilikoroga lazima ulinywe. Ukilitengeneza JINI lazima likupasue msamba.
Kwa ile maneno ya karuka kwenye defender ikiwa mwendo ni Chai siyo? [emoji12]Siku yake ilishafika na alikuwa anakitafuta kifo kwa kila namna ...
Kwa mujibu wa kituo cha Sunrise redio huyo Ally Dangote alikuwa anafanya mauaji na kisha kupotea na baada ya muda anarudi eneo lile lile alilofanya tukio ...
Jana inasemekana alikamatwa na kina mama na bahati ikawa upande wake akafanikiwa akaponyoka na baada ya muda akarudi tena eneo lile lile alilokoswa kukamatwa ..
Cha kushangaza Maeneo yale kuna kituo cha Polisi cha Unga Ltd lakini walishindwa kumdhibiti kwa wakati, hadi kufikia mahakama ya mtaa kutoa hukumu.
Apumzike anapostahili.
Nasisitiza angalia sehemu nimesema wengine hutoroka mikononi mwa vyombo vya sheria. Siyo wote Wana achiwa huru.Kama zipo kesi kadhaa na zote zinafanana bado tu hatujaliona tatizo liko wapi?
Kwamba kesi nyingi Kama zake wanashikwa then baada ya muda wanaachiwa, hapa bado pia tunajifanya vipofu hatuoni kabisa adui aliyesimama kati yetu wananchi na vibaka ni nani?
Sijawahi kujua kwanini hatupendi kabisa kuwajibika na badala yake tunatatua changamoto zetu kwa kutumia matokeo na sio vyanzo/mizizi.
Wanaume wa Arusha kazi yao kujibebisha kwa Wazungu,nimeamini sasaYaani katoto kadogo hivi ndio kalikuwa kanalaza wanaume wazima saa 1 mkoa mzima? Aisee Arusha nikajuaga Kuna watu wa kazi kumbe hamna kitu kabisa ni aibu kwakweli.
Ivo yaan😘Kazi nzuri wananchi, endeleeni kuwapunguza
Waarabu wa Pemba hao.Kibaka apumzike kwa amani kwa lipi jema alilofanya
Nasisitiza angalia sehemu nimesema wengine hutoroka mikononi mwa vyombo vya sheria. Siyo wote Wana achiwa huru.
Kumbuka wengi wa hawa ni wahalifu sugu ambao hawaogopi kifo wanajaribu kukimbia mbele ya askari wenye bunduki.
Hawaogopi kifo sababu wameshauwa zaidi ya mara moja.
Muulize kama anaujua mtaa wa Congo wa mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka katikati mwa miaka hiyo kuanzia juu kule mpaka stendi ya Mwananyamala kama mtu alikuwa anapita mtaa ule na wallet mfuko wa nyuma. Leo hii ni shwari kabisaNani kakuambia
Mbona Dar vibaka wezi wakabaji
Washasulubiwa sana
Ova
umekuwa Batman au sio?Kutuliza uuaji kwa kuua kuna amplify uuaji.
We unaonaje Braza Dangote ?umekuwa Batman au sio?