Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Alikuwa fisadi sio kibaka tena?Tumenza na "ALLY DANGOTE"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa fisadi sio kibaka tena?Tumenza na "ALLY DANGOTE"
Mafisadi na wezi wa Mali za ummaKwani wanaishi wapi hao mafisadi, siyo mitaani?
Hawapo mtaani kwako?
Siyo wananchi "wenye hasira kali" walijichukulia sheria mkononi na kumuua, taarifa hapo juu inasema ni askari polisi ndio waliomuua kwa risasi baada ya kuruka kutoka kwenye gari lao akijaribu kuwatoroka.Ni kweli mob justice ni mbaya. Lakini ukiona katajwa hilo jina inaonekana ni mtu maarufu kwa shughuli hiyo na anafahamika kwa hilo.
Shida kubwa ni polisi huwa wanawaachia wakishahonga.
Siyo kweli hakuachiwa Huyo kafia kwenye mikono ya polisi hajauliwa na wananchiYou are not serious. Leo enyewe tu karokea polisi baada ya kukamatwa majuzi. Huoni hapo Na mwenzake wapo kwenye pingu? Baada ya kutoka, wananchi wakaona wamalize.kesi wenyewe.
Amejetuhi na kuuwa wengi hapa mjini, pora toyo za watu sana huku akijeruhi. Hastahili kuonewa huruma hata kidogo. Wananchi wameamua kupeleka ujumbe kwa genge lake.
Tuliza kinyeo hicho nisije kukuchimba.Jinga Sana ww , Kwa hiyo mtu akizurumiwa ndio akikutana na mtu yeyote anaua tu , Kwa nini asiende Kwa aliye mzurumu
Haya muige na wewe watu wakufanyie umafia ,
Pumbaf zako
WATU HIZI ADHABU WANAZO WAPA
HAWA VIBAKA,WAKABAJI WANGEKUWA WANAWAPA HAWA MAFISADI NA WEZI WA MALI ZA UMMA INGEKUWA SAFI SANA
Ova
Jinga Sana ww , Kwa hiyo mtu akizurumiwa ndio akikutana na mtu yeyote anaua tu , Kwa nini asiende Kwa aliye mzurumu
Haya muige na wewe watu wakufanyie umafia ,
Pumbaf zako
Ni psychopath kama Sabaya, yaelekea Arusha kuna ma pyscho wengi sana
huko anakokwenda hakunaga kupumzikaKatika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai.
---
Mamia ya wakazi wa Jiji la Arusha leo wamejitokeza kushuhudia mwili wa kijana anayetambuliwa kwa jina la Ally Dangote (19) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, akidaiwa kutoroka baada ya kukamatwa.
Dangote kabla ya kutajwa kuhusika na matukio ya mauaji alikuwa rumande Magereza kwa muda mrefu kwa tuhuma za mauaji na hatimaye mwaka huu aliachiwa huru na Mahakama kutokana na kukosekana ushahidi lakini alikamatwa tena baada ya tuhuma za uhalifu mwingine.
Akizungumzia kifo hicho leo Jumatatu Novemba 20, 2023 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Salvas Makweli amesema Dangote ameuawa baada ya kupata jeraha la risasi wakati akiwatoroka polisi.
"Ni kweli huyu mtuhumiwa alikuwa anasakwa kwa muda mrefu kwa tuhuma za wizi na mauaji na leo baada ya kuwekewa mitego tulimkamata na wakati anakwenda kuwaonesha wenzake aliruka kwenye gari na ndipo alipigwa risasi na kutokana na kuvuja damu nyingi alifariki akiwa hospitali," amesema.
(Imeandikwa na Mussa Juma)
Pia soma > Kibaka maarufu, Ally Dangote atiwa mbaroni Arusha
View attachment 2820024
Ally Dangote(Kulia)
Mengi yamesemwa, ila lililokolea zaidi ni kwamba Ally akifungwa jela kwa kusingiziwa...kitendo kilichomfanya kuapa kuwa atakapotoka atawaua wote waliomzushia uongo na kupelekea kufungwaKwa nini alikuwa akiua watu kama unavyadai ? Sababu ya huyu mtu kutekeleza mauaji ya watu hasa ilikuwa nini?
Nipo serious mkuu,ukute alifananishwa au labda niyeye,ndomaana nikasema,ni vema angetiwa nguvuni,halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke.Hiyo mob justice,ingekua vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma,ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania,ila sheria hazichukui mkondo wake,jamii ingeheshimika,kuliko kumuua mtu,tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa,lakini ndo hivyo.Kuna habari za watu wengi tu kuuawa,kwa kuitiwa mwizi,huku si kweli,na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza,siyo fair kabisa.Anyway ndiyo umma wetu huu.
Uyu miaka 19 tusiseme kasumbua arusha, na kisu tu?Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai.
---
Mamia ya wakazi wa Jiji la Arusha leo wamejitokeza kushuhudia mwili wa kijana anayetambuliwa kwa jina la Ally Dangote (19) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, akidaiwa kutoroka baada ya kukamatwa.
Dangote kabla ya kutajwa kuhusika na matukio ya mauaji alikuwa rumande Magereza kwa muda mrefu kwa tuhuma za mauaji na hatimaye mwaka huu aliachiwa huru na Mahakama kutokana na kukosekana ushahidi lakini alikamatwa tena baada ya tuhuma za uhalifu mwingine.
Akizungumzia kifo hicho leo Jumatatu Novemba 20, 2023 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Salvas Makweli amesema Dangote ameuawa baada ya kupata jeraha la risasi wakati akiwatoroka polisi.
"Ni kweli huyu mtuhumiwa alikuwa anasakwa kwa muda mrefu kwa tuhuma za wizi na mauaji na leo baada ya kuwekewa mitego tulimkamata na wakati anakwenda kuwaonesha wenzake aliruka kwenye gari na ndipo alipigwa risasi na kutokana na kuvuja damu nyingi alifariki akiwa hospitali," amesema.
(Imeandikwa na Mussa Juma)
Pia soma > Kibaka maarufu, Ally Dangote atiwa mbaroni Arusha
View attachment 2820024
Ally Dangote(Kulia)
Asante sana kwa kunielewa.Hujamuelewa.
Kwa kifupi tu ni kwamba hao wananchi wame deal na matokeo badala ya chanzo kwahiyo uwezekano wa kuibuka “Ally Dangote” mwingine ni mkubwa kwa asilimia kubwa.
Halafu acha kutukana watu hovyo, huo sio ustaarabu.
Hiyo jamii ndiyo chanzo cha kuibuka kwa ALLY DANGOTE.Jamii hisiyotaka kuwajibika kwa matendo yake yenyewe huzalisha akina Ally Dangote wengi tu.
Jamii inayoshindwa kumdhibiti kijana wa kiume wa umri wa miaka 19 tu ni jamii iliyoshindwa kwa maana katika uso wa ulimwengu huyo bado ni mtoto.
Mtoto alieua watu 9 na mara zote akafanikiwa huku akijeruhi wengine.
Mtoto mmoja alieishinda jamii ya maelfu ya watu wazima wa kila kariba mpaka jeshi la polisi.
.
Thubutuu!Uyu miaka 19 tusiseme kasumbua arusha, na kisu tu?
Uyu ilikuwa ni wa kuchuna ngozi ya mbupu kwa wembe butu aeleze A to Z.. kaondoka na utamu wote, frankly tulimuhiitaji hai sana mikononi kuliko kupoteza risasi kwa hii mburasa,Arusha tumefeli wapi?