Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Naona unakomalia fahari yenu huko Chuga Bila Shaka wewe ni kada sekta hiyo.Choko ni wewe hapo mlenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unakomalia fahari yenu huko Chuga Bila Shaka wewe ni kada sekta hiyo.Choko ni wewe hapo mlenda
Ningekuwa hivyo ningekua nishakuoaNaona unakomalia fahari yenu huko Chuga Bila Shaka wewe ni kada sekta hiyo.
Ndio vile Sasa mahakama ya kitaa imeshaamua .....Hizi ni tuhuma mahakama haijathibitisha
Visungura vinaongea Kama sio banana au unga.Ningekuwa hivyo ningekua nishakuoa
Mimi ni sungura wa kiume wewe ni sungura demuVisungura vinaongea Kama sio banana au unga.
Hizi Akili za Ndete .... Hamna mtu humo.Mimi ni sungura wa kiume wewe ni sungura demu
Hawa watu sio wa kuchekea kabisa wanaweza kutoa uhai wa mtu kisa Techno kitochiNipo serious mkuu,ukute alifananishwa au labda niyeye,ndomaana nikasema,ni vema angetiwa nguvuni,halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke.Hiyo mob justice,ingekua vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma,ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania,ila sheria hazichukui mkondo wake,jamii ingeheshimika,kuliko kumuua mtu,tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa,lakini ndo hivyo.Kuna habari za watu wengi tu kuuawa,kwa kuitiwa mwizi,huku si kweli,na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza,siyo fair kabisa.Anyway ndiyo umma wetu huu.
Huyu anaonesha ni dishi kabisaView attachment 2820027
Kulikuwa na kampeni kubwa sana kumsaka, yapata mwezi mzima
Aisee na anaonekana ni mdogo tu, ukatili hadi kuua watu hauendani na yeye kabisaGo to hell coward
Kuna siku alitukosakosa tukiwa tunatoka Bills tukiwa na Bajaj, tulishukuru gari lilikuja mbele yetu akazani ni pila la doria
I am not talking about cheap "Mtaa" nazungumzia mafisadi majizi ya Tanzania yanayojificha kwa mwavuli wa SiasaAnzisha polisi jamii mtaani kwako, kama wapo vibaka unaowasema muwashughulikie, hawa vijana hapa wameshughulikiwa na polisi jamii za mitaani kwao.
Nauchukia wizi sanaHizi Akili za Ndete .... Hamna mtu humo.
Endeleeni kuuwana Mana wizi na usela mavi asili yenu.
Kituo kinachofuata ni wewe.
Hakuna amani kwa wabaya!Apumzike Kwa Amani
Tanzania nakulilia 😭😭😭😭Mafisadi hayooo yanatanua tu! Washenzi wamekunja bilioni 345 kiulainii. Halafu wewe upo unakimbizana na TRA na kiduka chako cha mtaji wa milioni 5 ili watoto wako wale na kusoma. Hawa ndiyo wanakuja kujenga mahekalu ya kutisha na kucheka vijana kuwa siyo wabunifu na kwamba elimu yao haijawasaidia.
Kwenye hukumu hizi kuna ubaya gani kusema kuwa pesa zote zilizoibwa zirudishwe na kila walichonacho kinataifishwa?
Halafu yule mama masikini wakampiga mvua 22 kisa kakutwa na vipande 12 vya nyama ya swala eti nyara za taifa 😬😬😬😬
View attachment 2820029
Kutwaa wakiitwa Waheshimiwa, " wakuu" kiongozi.Unawapata wapi wanatembea na silaha za moto?
Mtu umeshasikia ni mwizi mzoefu na pia muuaji, bado unataka wajadiliane nae ili iweje!?Pole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.
Huyo ni jambazi mwenzieHivi we jamaa upo serious kweli? Au mgeni nchi hii!
Eti may his soul bla bla bla.... kwa jambazi muuaji
Aliuawa vipi na Wananchi wakati akiwa amefungwa pingu, alifungwa pingu na nani?Kazi nzuri wananchi, endeleeni kuwapunguza
Huyu hakuwa sawa, kuna mahali ALIONEWA. Tena ALIONEWA SANA, ndio maana akageuka kuwa KATILI SANA.
Watu wanaweza kumbadilisha MALAIKA kuwa IBILISI.
Drink your own POISON, tena angewapiga mabisu ya kutosha, HAMJITAMBUI.