Ally Dangote auawa jijini Arusha
Nipo serious mkuu,ukute alifananishwa au labda niyeye,ndomaana nikasema,ni vema angetiwa nguvuni,halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke.Hiyo mob justice,ingekua vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma,ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania,ila sheria hazichukui mkondo wake,jamii ingeheshimika,kuliko kumuua mtu,tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa,lakini ndo hivyo.Kuna habari za watu wengi tu kuuawa,kwa kuitiwa mwizi,huku si kweli,na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza,siyo fair kabisa.Anyway ndiyo umma wetu huu.
Hawa watu sio wa kuchekea kabisa wanaweza kutoa uhai wa mtu kisa Techno kitochi
 
Mafisadi hayooo yanatanua tu! Washenzi wamekunja bilioni 345 kiulainii. Halafu wewe upo unakimbizana na TRA na kiduka chako cha mtaji wa milioni 5 ili watoto wako wale na kusoma. Hawa ndiyo wanakuja kujenga mahekalu ya kutisha na kucheka vijana kuwa siyo wabunifu na kwamba elimu yao haijawasaidia.

Kwenye hukumu hizi kuna ubaya gani kusema kuwa pesa zote zilizoibwa zirudishwe na kila walichonacho kinataifishwa?

Halafu yule mama masikini wakampiga mvua 22 kisa kakutwa na vipande 12 vya nyama ya swala eti nyara za taifa 😬😬😬😬

View attachment 2820029
Tanzania nakulilia 😭😭😭😭
 
Acheni ushabiki maandazi huyu hakua mwizi tu alikua muuaji... Akikuomba hela usipompa anakutia visu vya tumbo anasepaa... Jela kashapelekwa anatoka anaendelea na ujinga huo huo... Mlitaka wananchi wafanyaje sasa.....??
 
Huyu hakuwa sawa, kuna mahali ALIONEWA. Tena ALIONEWA SANA, ndio maana akageuka kuwa KATILI SANA.

Watu wanaweza kumbadilisha MALAIKA kuwa IBILISI.

Drink your own POISON, tena angewapiga mabisu ya kutosha, HAMJITAMBUI.

Hajabadilishwa Wala Nini. Tusipende kutetea ukatili. Naona polisi walijisahau ikabidi wananchi wawasaidie.
 
Back
Top Bottom