Ally Dangote auawa jijini Arusha
Huyu hakuwa sawa, kuna mahali ALIONEWA. Tena ALIONEWA SANA, ndio maana akageuka kuwa KATILI SANA.

Watu wanaweza kumbadilisha MALAIKA kuwa IBILISI.

Drink your own POISON, tena angewapiga mabisu ya kutosha, HAMJITAMBUI.
Jinga Sana wewe, kwahiyo mtu akizulumiwa ndio akikutana na mtu yeyote anaua tu, Kwanini asiende Kwa aliyemdhulumu. Haya muige na wewe watu wakufanyie umafia.
Pumbaf zako
 
Pole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.

Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.
You are not serious. Leo enyewe tu karokea polisi baada ya kukamatwa majuzi. Huoni hapo Na mwenzake wapo kwenye pingu? Baada ya kutoka, wananchi wakaona wamalize.kesi wenyewe.
Amejetuhi na kuuwa wengi hapa mjini, pora toyo za watu sana huku akijeruhi. Hastahili kuonewa huruma hata kidogo. Wananchi wameamua kupeleka ujumbe kwa genge lake.
 
Mafisadi hayooo yanatanua tu! Washenzi wamekunja bilioni 345 kiulainii. Halafu wewe upo unakimbizana na TRA na kiduka chako cha mtaji wa milioni 5 ili watoto wako wale na kusoma. Hawa ndiyo wanakuja kujenga mahekalu ya kutisha na kucheka vijana kuwa siyo wabunifu na kwamba elimu yao haijawasaidia.

Kwenye hukumu hizi kuna ubaya gani kusema kuwa pesa zote zilizoibwa zirudishwe na kila walichonacho kinataifishwa?

Halafu yule mama masikini wakampiga mvua 22 kisa kakutwa na vipande 12 vya nyama ya swala eti nyara za taifa 😬😬😬😬

View attachment 2820029
Kaka hii nchi sio maskini me ntapinga Sana hili Jambo.
Kuna watu wanajimilikisha hadi walivyotakiwa kumiliki wengine.
Greedy n Power Elites.
 
FB_IMG_17005023476538017.jpg


Mamia ya wakazi wa Jiji la Arusha leo wamejitokeza kushuhudia mwili wa kijana anayetambuliwa kwa jina la Ally Dangote (19) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, akidaiwa kutoroka baada ya kukamatwa.

Dangote kabla ya kutajwa kuhusika na matukio ya mauaji alikuwa rumande Magereza kwa muda mrefu kwa tuhuma za mauaji na hatimaye mwaka huu aliachiwa huru na Mahakama kutokana na kukosekana ushahidi lakini alikamatwa tena baada ya tuhuma za uhalifu mwingine.

Akizungumzia kifo hicho leo Jumatatu Novemba 20, 2023 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Salvas Makweli amesema Dangote ameuawa baada ya kupata jeraha la risasi wakati akiwatoroka polisi.

"Ni kweli huyu mtuhumiwa alikuwa anasakwa kwa muda mrefu kwa tuhuma za wizi na mauaji na leo baada ya kuwekewa mitego tulimkamata na wakati anakwenda kuwaonesha wenzake aliruka kwenye gari na ndipo alipigwa risasi na kutokana na kuvuja damu nyingi alifariki akiwa hospitali," amesema.

#sunriseradio94.9
 
Back
Top Bottom