Mbona kuna sehemu wamesema ameuwawa kwa kupoteza damu nyingi baada ya kupigwa risasi na Polisi akiwa anatoroka?
 
Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
  • Atiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali na kumpokonya uhai.
  • Afariki baadaya kupoteza damu nyingi baada ya kupigwa risasi na Polisi.
Zote hizi ni taarifa ndani ya taarifa moja, which is which sasa?
 
Hii chalii naijua kwa Babu yake ni hapo one paru sokoni one alinifanya niwe nawahi home,Kuna siku jumapili jioni nakutana nae sombetini ananiambia nimchomeshe fegi nilikua sina coins ilibidi nimpe kaki bila kudai change
We jamaa kuna siku nilikutana na wewe maeneo karibu na shule ya nakido nikakupatia namba zangu unichek naona ukanikaushia hujanitafuta tena
 
We unaonekana hujawahi kuibiwa siku ukiibiwa ndiyo utajuwa ubaya wa hawa watu
 
we unaonekana hujawahi kuibiwa siku ukiibiwa ndiyo utajuwa ubaya wa hawa watu
Hatujatofautina wote tunauchungu ila kunasehemu tunaibiwa sana na wala hatuoni uchungu! wengi hatujui mali ya umma ni mali yetu bali tunaimini mali ya umma ni mali ya serikali.
 
We jamaa kuna siku nilikutana na wewe maeneo karibu na shule ya nakido nikakupatia namba zangu unichek naona ukanikaushia hujanitafuta tena
Acha uwongo jomba nakido napajua ila Mimi na wewe hatujawahi kuonana kama ni kweli niambie nafananaje🤣
 
Kwani wakazi wa Unga LTD stori zinasemaje huko kwenu?
 
Huku yan hata simsikii mtu akiliongelea?
 
Halafu huwezi kuamini mimi npo hapa Arusha town lakini huyu dg ckuwahi kumsikia but nimekuja kumckia baada ya kuuawa.... Nje ya Arusha watu wanadhan huyu dg ni popular sana arusha
 
Kwahiyo huyo kibaka nae inatakiwa tumjadili.

Hii nchi wapiiinzani wametuchelewesha
 
Halafu huwezi kuamini mimi npo hapa Arusha town lakini huyu dg ckuwahi kumsikia but nimekuja kumckia baada ya kuuawa.... Nje ya Arusha watu wanadhan huyu dg ni popular sana arusha
Fidovato amelala saa 9 jioni wewe ni nani?
 
Ukimsikia polisi wanasema mtuhumiwa aliruka Kutoka gari ya polisi ndipo umauti ukamkuta....

Pigia mstari!!
 
Pole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.

Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.
Kwani kauawa na mob? Wananchi walimkamata na kumfikisha polisi
 
Huyu Kibaka au serial killer ?
Maana kwa trend ya kuua watu 9 na kujeruhi 13 huyo si Kibaka tena ni serial killer
 
Bora fisadi kuliko kibaka wa aina hii
Siku ukikutana nao ndo utakubaliana na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…