Kijana mdogo kabisa huyo dangote halafu polisi na wenyewe wanachangia watu kuchukua sheria mkononi coz mtu ameshajulikana mara kibao kwamba ni mharifu na amekamatwa mara nyingi ila bado alikuwa anadunda tu uraiani.
Safi sana kazi nzuri wananchi huo ndiyo ushirikiano sababu polisi na mahakama wanashindwa kulinda usalama wetu.
 
Anzisha polisi jamii mtaani kwako, kama wapo vibaka unaowasema muwashughulikie, hawa vijana hapa wameshughulikiwa na polisi jamii za mitaani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…