Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza muhuni atoke wapi? Mjanja huko ni bestinaso na ndo superstar wenuAngekuwa mwanza asingeua mtu wa pili
Chalii flan mwembamba hivi mweusi mara nying nikikutana na wew nakukuta ume tinga kimtindoAcha uwongo jomba nakido napajua ila Mimi na wewe hatujawahi kuonana kama ni kweli niambie nafananaje🤣
Hapana sio Mimi dogo halafu Mimi sio chaliiChalii flan mwembamba hivi mweusi mara nying nikikutana na wew nakukuta ume tinga kimtindo
Wewe utakuwa mtoto wa kotaPole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.
mkuu kuna roho nafsi na mwili hapoo huyoo dogo roho ya wizi ilikuwa inamuendesha.tunaua mwili roho haifi inamvaa mwingine. roho imeipa adhabu mwili.fufueni muue tena uyo mbwa,,
Huyo katolewa kama Mfano kwa vijana wengine watukutuKuua sio njia sahihi
Maana kijana wa 19yrs bado Mdogo angejengewa misingi mipya ya kuitafuta Kesho yake iliyo Bora.
Hakuna Binadamu huwa anazaliwa ili aje awe Jambazi au muuaji isipokuwa hizi huwa ni hali zimavaa Mtu na kuharibu future yake huku yeye akiwa hana tena maamuzi na destiny yake .
Basi isiwe kesi ila Tulishawahi kuchat kwa Id yangu nyingine hivyo nakufaham usibisheHapana sio Mimi dogo halafu Mimi sio chalii
Utakuwa umekosea huko pande za nakido nakumbuka mara ya mwisho kwenda ni 2020 kulikua na kituo Cha kupiga kura hapo shuleni!!Basi isiwe kesi ila Tulishawahi kuchat kwa Id yangu nyingine hivyo nakufaham usibishe