Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au yule msomali ..Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
View attachment 2815455
-Kaveli-
Anamuongelea nani? Kagasheki?Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
View attachment 2815455
-Kaveli-
Sijui mieKwamba yule msomali wa tembo na twiga? Labda... tuendelee kuotea ama kupatia. [emoji41]
-Kaveli-
yule hawezi kumuogopa Samia? lKwamba yule msomali wa tembo na twiga? Labda... tuendelee kuotea ama kupatia. 😎
-Kaveli-