saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Chalamila tena? Hivi huyu mama yuko serious kwl? Mtu alionesha kumdharau waziwazi leo atafanya naye kazi vp tena. Yule ni mfia Magu haamini km amekufa.Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Atakua hapa JFKafulila unajua anaenda wapi?
CCM wanatafuna kwa zamu hao wamepumzishwa wakitaka kuishiwa tu watarejeshwa tena mzingani walambe tena asali.Ikumbukwe Kafulila amejengwa kisiasa na Bavicha kama ilivyo kwa Happi aliyekulia UVCCM
Hawa wamekuwa vinara wa Sifa na kuabudu katika awamu zote walizohudumu
Tutawamis!
Jiandae kumuita mkuu akiwa kwenye gari ya wizara ππAtakua hapa JF
Ndo CCM ilivyo wanapokezana kula hata kesho Hapi atarudishwa njaa ikizidiChalamila tena? Hivi huyu mama yuko serious kwl? Mtu alionesha kumdharau waziwazi leo atafanya naye kazi vp tena. Yule ni mfia Magu haamini km amekufa. Na anaamini Samia alishiriki ktk mpango wa kufa kwake. Huyu mama simwelewi. Anabadilisha hawa viongozi km anavyobdili nguo au anatafuta nini. Kwl madaraka ya Rais ni makubwa sana anacheza anavyotaka.
Ukiona watu wanafurahia mabaya kutokea kwako wewe ujue ulikuwa unawafanyja watu mabayaNchi hii kwa kufurahia mabaya ya wengine mbona tunaongoza?
Ni DC mtarajiwa!Yaani debe lote analopiga member mwenzetu Pasco hadi kujitoa ufahamu hajaonwa badala yake anakumbukwa mropokaji Chalamila? Hii si sawa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Happi na Kafulila ni wanasiasa. Na mwanasiasa anajua kuna kupata madaraka na kuyakosa. Dk. Chegeni na Dk. Chalamila ni mfano mzuri.Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Kama yule aliyewachapa viboko wanafunzi huko Mbeya. Nani alijia atarejea tena?Tukivumiliana walau kwa wiki 2 utawasikia kwenye teuzi nyingine.
Siku yako imeanza vizuri sana kwa hao jamaa kutumbuliwa.MUNGU Fundi daadeki
Kumbe hats nyonyi mliosoma mnawivu na roho mbaya.Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
... kijana mdogo kama yule anakuwaje na wake wanne kwa umri ule?
Ana wake wanne?
Muda wa kutunzwa na wamama sasaHeri yake mwenye wake wanne kuliko mwenye michepuko mnne ha ha [emoji23] [emoji38]
Dah, hao watateuliwa nafasi zingine mkuu,Wala tusimalize maneno,Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Huyu fala alijiamini nini kusema hivyo πππAlly Happy alitangaza live kuwa atamzaba makofi JK na wastaafu wote wenye mdomo.