Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Keshapigwa chini tayari usiku wa manane.Kweli makobazi yanaweza kumbeba.
Atarejeshwa mbeleni akaombe msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshapigwa chini tayari usiku wa manane.Kweli makobazi yanaweza kumbeba.
Alikuja kusema hayakuwa ya muhimu, kinana ni mwalimu na anafaa sana na kila jambo na wakati wake.Hahaha 🤣 Dogo kama Dogo
Wapumzike kwa amanKaribuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Kafulila unajua anaenda wapi?Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Nchi hii kwa kufurahia mabaya ya wengine mbona tunaongoza?Wewe umefurahi kwa lipi?
Kafulila mwezi huu wa Sita na wa Saba amepost nyuzi nyingi sana za kumsifia Mama nadhani alikuwa anajihami.Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Ile hirizi ya ccm imemgomea KafulilaKaribuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.
Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Natamani mama awaache kwanza japo miaka miwili waje wajiajiriTukivumiliana walau kwa wiki 2 utawasikia kwenye teuzi nyingine.
Teuzi za kuwa karibu na mama bila waraka wa kuelezea wanachopaswa kufanya, kama Mrema alivyopewa Naibu Waziri MkuuKama Lukuvi na Kabudi walivyopewa teuzi nyingine
Wala Musiba.....dahDuh 🙄 Mayalla hayumo tena.