Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

Haji Manara akipewa usemaji, najitoa kuchangia Yanga moja kwa moja, sitahudhuria vikao vya wanachama, sitafanya chochote kuhusu Yanga na moyo umeniuma sana, GSM kama ndio kaamua hili la Haji Manara awe msemaji, atapata tatizo kubwa toka kwa wananchi…!!

Manara hapanaaaaa, hapanaaaaa kabisa😡😡😡😡
 
Anaemuweka mzungu pori yanga ni ghalib na Hersi lkn sidhani kama kuna mwana yanga yoyote anaemkubali yule jamaa,, kamkimbiza nugaz na bumbuli na sasa Ali kamwe,,,
Yanga wenye akili watatu,,
Kikwete, Sunday manara na mzee magoma,,
 
Manara ana gundu sasa hivi Yanga tutaanza kupoteza michezo. Yaani Manara kaitia nuksi simba sasa kija yanga ndiyo balaa. Tatizo kubwa la Manara ni kupenda maisha ya juu wakati hana uwezo, matokeo yake anauza mechi kwa wapinzani. Nashauri kabisa afukuzwe yanga arudi huko alikokuwa. Bila kufungiwa leo Yanga tusingekuwa na utulivu na ushindi. Manara ni mla rushwa wa kuuza siri kwa wapinzani
 
Manara ana gundu sasa hivi Yanga tutaanza kupoteza michezo. Yaani Manara kaitia nuksi simba sasa kija yanga ndiyo balaa. Tatizo kubwa la Manara ni kupenda maisha ya juu wakati hana uwezo, matokeo yake anauza mechi kwa wapinzani. Nashauri kabisa afukuzwe yanga arudi huko alikokuwa. Bila kufungiwa leo Yanga tusingekuwa na utulivu na ushindi. Manara ni mla rushwa wa kuuza siri
 
Na hapo Manara inabidi asafishe idara nzima bila hivyo atakuwa anagombana kila siku na watu aliowaacha Kamwe. Kiufupi huu utakuwa msimu mgumu kwenu.

Haitakuwa rahisi kumtoa Manara kama mnavyodhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…