princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Sijapenda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeh 🙄Bolo langu limedinda sasa jipendekeze nikuchane Msamba
Mtu shabiki wa Simba Sc anapewa usemaji wa Yanga tena baada kututukana matusi yote, kama sio uhayawani ni nini hiki?
Tajiri anavuka mpaka sasa.
Hakika sio akili yake,kapulizwaaManara ameshatumia majini kumtoa Kamwe
Unafosi basha kinguvu,, sie wengine atufi#£li mikundru kipapa weweBolo langu limedinda sasa jipendekeze nikuchane Msamba
Manara ana gundu sasa hivi Yanga tutaanza kupoteza michezo. Yaani Manara kaitia nuksi simba sasa kija yanga ndiyo balaa. Tatizo kubwa la Manara ni kupenda maisha ya juu wakati hana uwezo, matokeo yake anauza mechi kwa wapinzani. Nashauri kabisa afukuzwe yanga arudi huko alikokuwa. Bila kufungiwa leo Yanga tusingekuwa na utulivu na ushindi. Manara ni mla rushwa wa kuuza siri kwa wapinzaniHii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
𝑀𝑡𝑢𝑚𝑏𝑢𝑖𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑧𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑗𝑢𝑎 𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑛𝑑𝑜𝑘a 𝐽𝑢𝑘𝑤𝑎𝑎𝑛𝑖..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Manara ana gundu sasa hivi Yanga tutaanza kupoteza michezo. Yaani Manara kaitia nuksi simba sasa kija yanga ndiyo balaa. Tatizo kubwa la Manara ni kupenda maisha ya juu wakati hana uwezo, matokeo yake anauza mechi kwa wapinzani. Nashauri kabisa afukuzwe yanga arudi huko alikokuwa. Bila kufungiwa leo Yanga tusingekuwa na utulivu na ushindi. Manara ni mla rushwa wa kuuza siriHii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
𝑀𝑡𝑢𝑚𝑏𝑢𝑖𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑧𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑗𝑢𝑎 𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑛𝑑𝑜𝑘a 𝐽𝑢𝑘𝑤𝑎𝑎𝑛𝑖..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Mara hii?. Kumkaribisha Manara ni Sawa na kukumbatia mzinga WA nyuki. Iko siku watakuuma Tu.Manara ni kirusi kwenye timu. Babra apongezwe kwa kukiondoa pale umbumbuni.
Bolo langu limedinda Wewe nisogezee tu hilo PapaiUnafosi basha kinguvu,, sie wengine atufi#£li mikundru kipapa wewe
Nisogezee tu hilo Papai nilitifueUmeulizwa??? Au huo mwiko uko nyuma unakuwasha
Wanatengeneza kiki ya Yanga day.Nyani ametema Bongo..
Quur juwaaan effects