Anana_
JF-Expert Member
- Dec 3, 2024
- 210
- 633
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka
Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.
Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.