Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

Mimi mzazi wangu aliexpect kikubwa kutoka kwangu sababu ya kuwaona watoto wa ndugu zake walivyopasua na wanavyojali wazazi wao….

Lakini sasa mimi uwezo huo kama wao sina, ikitokea tukaenda msibani au harus hata niongee nn kinakua hakina maana. Pengine kitu kinaweza kisiende sawa nikahisiwa ni mimi nimeharibu… Hata nichangie chcht wanaona hakina maana yan
Huyo mzazi wako lazima ni jinsia KE

Mamaza ndo wenye hii mikato😏😏
 
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka

Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.

Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.
Nayatambua haya maumivu
 
Mimi mzazi wangu aliexpect kikubwa kutoka kwangu sababu ya kuwaona watoto wa ndugu zake walivyopasua na wanavyojali wazazi wao….

Lakini sasa mimi uwezo huo kama wao sina, ikitokea tukaenda msibani au harus hata niongee nn kinakua hakina maana. Pengine kitu kinaweza kisiende sawa nikahisiwa ni mimi nimeharibu… Hata nichangie chcht wanaona hakina maana yan
Huyo mzazi wako lazima ni jinsia KE

Mamaza ndo wenye hii mikato
 
Pole sana dadaa
1. Wasamehe wote ili upate amani ya moyo, wasamehe ufungue njia ya furaha katika maisha yako.

2. Mkabidhi MUNGU wa imani yako maisha yako. jitahidi sana kumuomba rehema, neema na muongozo katika maisha yako

3. kama kuna wazazi wako, ongea nao kwa upole
-kuhusu ndugu, wewe si wa kwanza..katika vitabu vya imani yusuph aliuzwa na ndugu zake lakn alisimama akaja kuwa msaada kwa waliomuuza

4. usiwachukie

5. usijichukie

6. jitahidi kufika katika makusanyiko ya kiroho, jumuika nao, furahi nao

7. USIJE JIDHARAU AU KUJIDHURU, MAANA WEWE NI MTU WA MHIMU SANA NA WA MAANA SANA.
 
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka

Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.

Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.
Thread 'Kwa wazazi na walezi hii inawahusu' Kwa wazazi na walezi hii inawahusu
 
Inaonekana wazazi au ndugu zako kuna vitu walitarajia ufanye ambavyo kimsingi maybe Huna uwezo navyo au hutaki kufanya Tu...Ninachoona upo kwenye familia yenye mtazamo wa hovyo kuhusu maisha, typical family ya kijima kimtazamo Kwa maana ya matarajio yao kutoka kwako yalikuwa makubwa hasa kuhusu maisha yaani uchumi labda, bila kujua kuwa maisha ni unpredictable, unaweza kuongoza darasani na usifanikiwe financial, unaweza kupata sapoti ya mitaji mikubwa na connections pia usifanikiwe, unaweza kuwa n Elimu kubwa pia usifanikiwe...

Maisha ni mchakato halisi unaohitaji hatua Fulani Fulani, maisha yanahitaji subira na Kila mtu ana namna Yake ya muda gani atafanikiwa kulingana na jinsi alivyo ndani ya nafsi Yake na nguvu zake...Wanapokudharau namna hiyo ina maana wanakuona kama mikosi, yaani Una NEGATIVE vibes....

Kama nilichoongea nimewasingizia ndugu zako basi kaa chini ujitafakari mwenyewe kuhusu mwenendo wako na Tabia zako maybe Una kitu kibaya kinachowakera watu, maybe!!!...
 
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka

Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.

Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.
pole sana ndugu naelewa maumivu unayoyapitia,MUNGU atakusaidia uyashinde ayo mapito
 
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka

Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.

Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.
Chief nakuelewa but katika hali hio kujitenga kunatengeneza hali mbaya zaidi na hali ya kujiona usiofaa please pata mtu ambae unaweza mshirikisha changamoto zako hata kama ni stranger ni better off kuondoa hio sumu then kidogo kidogo sumu itapungua ili uwe sawa coz kuendelea ivyo kuna kufanya ukate tamaa na kujiona si kitu na kufanya hivyo si sawa please You can DM kwa ajili ya kuwekana sawa kisaikolojia changamoto zipo lakini ni za muda wewe ni zaidi ya hizo mkuu
 
Inaonekana wazazi au ndugu zako kuna vitu walitarajia ufanye ambavyo kimsingi maybe Huna uwezo navyo au hutaki kufanya Tu...Ninachoona upo kwenye familia yenye mtazamo wa hovyo kuhusu maisha, typical family ya kijima kimtazamo Kwa maana ya matarajio yao kutoka kwako yalikuwa makubwa hasa kuhusu maisha yaani uchumi labda, bila kujua kuwa maisha ni unpredictable, unaweza kuongoza darasani na usifanikiwe financial, unaweza kupata sapoti ya mitaji mikubwa na connections pia usifanikiwe, unaweza kuwa n Elimu kubwa pia usifanikiwe...

Maisha ni mchakato halisi unaohitaji hatua Fulani Fulani, maisha yanahitaji subira na Kila mtu ana namna Yake ya muda gani atafanikiwa kulingana na jinsi alivyo ndani ya nafsi Yake na nguvu zake...Wanapokudharau namna hiyo ina maana wanakuona kama mikosi, yaani Una NEGATIVE vibes....

Kama nilichoongea nimewasingizia ndugu zako basi kaa chini ujitafakari mwenyewe kuhusu mwenendo wako na Tabia zako maybe Una kitu kibaya kinachowakera watu, maybe!!!...
Yani ww umeelewa sana hali niliyonayo
 
Mimi mzazi wangu aliexpect kikubwa kutoka kwangu sababu ya kuwaona watoto wa ndugu zake walivyopasua na wanavyojali wazazi wao….

Lakini sasa mimi uwezo huo kama wao sina, ikitokea tukaenda msibani au harus hata niongee nn kinakua hakina maana. Pengine kitu kinaweza kisiende sawa nikahisiwa ni mimi nimeharibu… Hata nichangie chcht wanaona hakina maana yan
Dah pole.sana madam tupo wengi tuliopitia kama.wewe kuna siku katika comment fulan nishawah kueleza historia yangu fupi humu

Binafs waZaZ walinitelekeza.halafu baadae walivyoona the future is bright wakaanza kuja na ushaur wao fanya hv fanya vile uwe fulan
Yaan wanataka ndoto Zao zitimie kupitia mm kwa jitihada zangu binafs wakat wa mapambano wanakaa mbaliii

Niliwakatalia mbali nikaish maisha yangu wakaanza maneno mtoto. Asikii tumempa mbinu hatak kufuata

Leo naish kivyangu na wanangu na mama yao kwa upendo wivu unawaangia wanataka tuachane na mke wangu eti amenishika sowajal wala kuwasikiliza

Wazaz.wangu walitengana lakn wameungana pamoja kuniumiza

Nakusihi ishi maisha yako yafurahie lakn ukipata shekel watumie wazaz kama jukumu lako.kwa wazaz
 
Pole, na hongera kwa kuweza… Naamini na mimi taratibu nitazoea na kuweza 🙏🏽🙏🏽
 
Pole sana
Hongera yako una japo story ya kuadisia kuhusu familia yako wengine
Hawana cha kusimulia kiwe kibaya au kizuri
Siku ukifa hao watakuzika hata usijali
 
Hauko peke yako ndugu, ila hizi familia za kiafrika kama huna roho ngumu, ni familia za kibinafsi sana, sasa hivi nimewekeza akili, nguvu na uwezo wangu wote kutafuta hela, Ndugu yangu ni Mungu pekee, hao wengine wakati ukifika watajileta wenyewe kikubwa namuomba Mungu anijalie Afya njema na baraka katika utafutaji wangu. Ndugu ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom