Jinsia gani wewe ndugu ?Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua mogogoro ndyo inaongezeka
Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.
Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.
Hahahaha ila we JamaaToa namna yakinifu yakuweza kuupata mwili ukishakufa
Usisumbuke na wanadamu hawa wenye ngozi nyeusi na wenye Roho za Kimaskini. Waulize Adebayo na Pogba watakubaliana ndugunzetu ngozi nyeusi wapoje.Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua mogogoro ndyo inaongezeka
Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina kaz za kufanya naeza kaa ndani bila kutoka nje siku nzima.
Hakuna namna ya kujiandikisha muhas nikifa wachukue mwili wangu cadaver wawape wanafunzi wajifunzie…sitamani kurudi nyumbani.
Dah kaka muhurumie kwanza ashushe presha ili tujue alikuwa serious kweli au anatania .Toa namna yakinifu yakuweza kuupata mwili ukishakufa
Unataka uniue sasa😁😁… popote ntakapokua yan kama wanavyofanya marekan mtu anajaza form ya donor kujitolea viungo vyake baada ya kufa.. so mwili wake baada ya kifo unakua mali ya sehemu flaniToa namna yakinifu yakuweza kuupata mwili ukishakufa
Bwashee mambo ni mengi yakufanya kujitolea mwili kama cadava sio jambo dogo ujue🤔Dah kaka muhurumie kwanza ashushe presha ili tujue alikuwa serious kweli au anatania .
Kama ni serious basi atafutwe na alindwe kwa wivu mkubwa
mimi ni jinsia KEJinsia gani wewe ndugu ?
Eleza kwa mapana chanzo cha migogoro na kutengana na ndugu ni nini ?
Pole sana najihisi hali yako ila jipe imani na tambua sasa kuwa WEWE NI WEWE sio mwingine ndugu wakiwa upande wako basi WEWE NI WAO ila ndugu wasipokiwa upande wako WEWE NI WEWE
Pole sana usijitenge sana kiasi cha maiti yako kutamani itumike mafunzoni ,ndugu sio lazima wa damu hata rafiki na mtu yeyote anaweza kuwa ndugu .
Pole sana mpendwa .
Jaza chap Bwashee namashaka unaweza jiua kabla hauja jazaUnataka uniue sasa😁😁… popote ntakapokua yan kama wanavyofanya marekan mtu anajaza form ya donor kujitolea viungo vyake baada ya kufa.. so mwili wake baada ya kifo unakua mali ya sehemu flani
Huyu ni presha ya kutengwa na ndugu wacha tumpe muda mpaka jioni asipobadili uamuzi ni wakutafutwa na kutunzwa kwa usahihi sanaBwashee mambo ni mengi yakufanya kujitolea mwili kama cadava sio jambo dogo ujue🤔
Pole sana ,je uko serious kabisa kabisa kamwili kako tukatumie kufanya maneuver?mimi ni jinsia KE
Inawezekana hili mkuu?Toa namna yakinifu yakuweza kuupata mwili ukishakufa
Kwa wivu mkubwa sana diagnosis hospital zetu tuna uhaba mkubwa njoo kwenye vyuo vya kitabibu🤔Huyu ni presha ya kutengwa na ndugu wacha tumpe muda mpaka jioni asipobadili uamuzi ni wakutafutwa na kutunzwa kwa usahihi sana
Asipokimbia ID yake kwa huu uchu wako bwashee basi kweli ameamua kweli kweliKwa wivu mkubwa sana diagnosis hospital zetu tuna uhaba mkubwa njoo kwenye vyuo vya kitabibu🤔
Yeah unaandaa wosia wako tu unaomba wafanye hivyo ni chap tuInawezekana hili mkuu?