Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

Mchawi pesa, tafuta pesa utatafutwa
 

Mimi mzazi wangu aliexpect kikubwa kutoka kwangu sababu ya kuwaona watoto wa ndugu zake walivyopasua na wanavyojali wazazi wao….

Lakini sasa mimi uwezo huo kama wao sina, ikitokea tukaenda msibani au harus hata niongee nn kinakua hakina maana. Pengine kitu kinaweza kisiende sawa nikahisiwa ni mimi nimeharibu… Hata nichangie chcht wanaona hakina maana yan
 
Hiyo ni hela bwashee , nina namba za ma Prof kibao , sioni nikifeli🤔
Nyie ni machiz kwel kwan hv vitu ni vigeni? Mbona nje viko open sana tuu… Sio kumuua mtu akiwa mzima ila ni umiliki baada ya kifo original kilichopangwa na Mungu…
 
Thomas Shelby once said.

"Family is the shelter from the storms, but sometimes it is the storm itself"

Ukielewa hilo hutosumbuka wala kulalamika sababu ndivo maisha yalivyo toka enzi na enzi
 
Nyie ni machiz kwel kwan hv vitu ni vigeni? Mbona nje viko open sana tuu… Sio kumuua mtu akiwa mzima ila ni umiliki baada ya kifo original kilichopangwa na Mungu…
Hatukuui binti , tunapiga hesabu zetu tu
 
Heri ya pasaka kwa waumini wa Mungu wa vitabuni,sisi waumini wa Mwanamalundi hatujui,ni lini tutafanya sherehe.
 
Hapo sepa mzee usisubiri nn wala nn, futika kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…