dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hahahahaHata Yesu hakujenga,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaHata Yesu hakujenga,
Ni wa kubangaiza tu, akipata milioni 20 au 30 ananunua vifaa kazi inaendelea, hela ikikata anarudi kupiga mzigo.
Eka tano za mboga mboga zinaweza kukuingizia laki tano kwa siku.
Uwe na miundo mbinu ya umwagiliaji; kusima, pump, utandaze mabomba.
Ajira viabarua watatu kwa 10,000 kila mmoj kwa siku. Wale shift, wawili waanze 12 asubuhi kuchuma mboga na kuziweka kwenye ndoo.
Unahitaji pick up ya kupelekea mazao sokoni. Unapack ndoo 12-15 za mboga mbali mbali.
Ukishachukua mauzo kumbuka kuacha laki mbili bank kila siku.
Ukifika mafanikio hata ya, ajiri afisa kilimo akupe ushauri wa magonjwa na tiba za mazao. Unaweza kumlipa kati ya laki 3-5.
Miaka mia 230 .... yani unajenga mpaka mbinguniSasa MTU anaeweza kumake 20m to 30ml ni wakawaida?
Mm salary 540k hiv unahisi nyumb kam hiyo itanichukua miaka 230 kukamilika
Kama biashara anayofanya inalipa, inawezekana.
Inawezekana ukiweka juhudiKwaiyo ndo Kusema.?
Imeshapata wapangaji????? Maana huwa naiona tuu nikipita njia,na kuna dalali maalum au yeye mwenyewe ndo kila kituView attachment 2102885
Ni apartments
Mbinguni atafikia wapi aache kujiliwaza ajenge dunia isonge mbele.Unaacha legacy kwa wanao na ndugu wa karibu.
Asipokuelewa hapa hawezi kukuelewa tena! Unaweza kuta mleta maada hajui hata nini maana ya kutakatisha pesa!!Unaweza kuamini hivyo kwa mtu ambaye hawezi kufikiri nje ya box, wafanyabiashara wengi siyo transparent kwenye shughuli zao. Unamwona bwashee anauza hardware yake baada ya mwaka mmoja anajenga hotel ya ghorofa 6 anasema alikuwa anauza hardware materials, wengi utumia cover up za biashara zao kuficha watu wasijue kinachoendelea uvunguni mwa carpet. Au wengine wana ndugu wako serikalini to anakwapua pesa uko anatumia ndugu mwenye kibiashara uchwara watu wanaamini kwamba biashara zake Inalipa. Lakini ingekuwa nchi za watu makini wanaomba tax return zako toka uanze mpaka hapo kupata justification ya hilo jengo lako wakilifanyia valuations kama inaendana na biashara zako.
Yuko vizuri mno. Watu wanabarikiwa sana mkuu.Hata mimi huwa simuelewi huyu Sky Eclat