Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

Eka tano za mboga mboga zinaweza kukuingizia laki tano kwa siku.

Uwe na miundo mbinu ya umwagiliaji; kusima, pump, utandaze mabomba.

Ajira viabarua watatu kwa 10,000 kila mmoj kwa siku. Wale shift, wawili waanze 12 asubuhi kuchuma mboga na kuziweka kwenye ndoo.

Unahitaji pick up ya kupelekea mazao sokoni. Unapack ndoo 12-15 za mboga mbali mbali.

Ukishachukua mauzo kumbuka kuacha laki mbili bank kila siku.

Ukifika mafanikio hata ya, ajiri afisa kilimo akupe ushauri wa magonjwa na tiba za mazao. Unaweza kumlipa kati ya laki 3-5.

Mtaji hujazungumzia hapo....

Ukizingatia Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe...
 
Sky eclat ni mwanamama au mwanababa, samahani lakini. Narudia kwa dhati samahani kwa swali hilo.
 
Unaweza kuamini hivyo kwa mtu ambaye hawezi kufikiri nje ya box, wafanyabiashara wengi siyo transparent kwenye shughuli zao. Unamwona bwashee anauza hardware yake baada ya mwaka mmoja anajenga hotel ya ghorofa 6 anasema alikuwa anauza hardware materials, wengi utumia cover up za biashara zao kuficha watu wasijue kinachoendelea uvunguni mwa carpet. Au wengine wana ndugu wako serikalini to anakwapua pesa uko anatumia ndugu mwenye kibiashara uchwara watu wanaamini kwamba biashara zake Inalipa. Lakini ingekuwa nchi za watu makini wanaomba tax return zako toka uanze mpaka hapo kupata justification ya hilo jengo lako wakilifanyia valuations kama inaendana na biashara zako.
Asipokuelewa hapa hawezi kukuelewa tena! Unaweza kuta mleta maada hajui hata nini maana ya kutakatisha pesa!!
 
Back
Top Bottom