Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

Jamaa linaongea utumbo mpaka lime pitiliza mkuu nimeahindwa kulielewa kabisaa
pumbavu hilo halina future yoyote linaonekana lipolipo Tu simu za mikopo zimekuwa nyingi majitu yanasumbua mtandaoni humu na zile MB za bure za voda zimekuwa tatizo saivi
 
Yani umeongea ukweli mtupu.Sisi watanzania ni kama mazuzu aisee..mpira wa Yanga na Simba ndio kama unatumuka kutuzubaisha tusijadili ya msingi hawa wapuuzi sijui walitufanya nn na hizi akili zetu.Tunatawaliwa kiboya sanaa yani kama misukule hatujielewi!
Ila haya ya mpira mpk Ulaya yapo jamani.
Utaskia shabiki wa team fulani kajinyonga sababu team yake imefungwa.
Na betting ndio imechangia zaidi watu kutokwa na akili juu ya mpira.
Kwa ufupi mpira =shetani
 
Sare zinawapa kiburi na wanasahau kuwa hiyo ni promotion Kuna Muda inakata na atakuja mwingine.
Wanatupiga af jioni tuna kutana bar na Wana acha pombe wazi wanaenda kukojoa wanaludi wanaendelea kunywa

Sisi tunawachola tu ,😄😄
 
Ila haya ya mpira mpk Ulaya yapo jamani.
Utaskia shabiki wa team fulani kajinyonga sababu team yake imefungwa.
Na betting ndio imechangia zaidi watu kutokwa na akili juu ya mpira.
Kwa ufupi mpira =shetani
Ukimwangalia mtu anaye bet kuanzia juu mpaka kiatu uta gundua betting ni mbaya Sana mkuu
 
Wanatupiga af jioni tuna kutana bar na Wana acha pombe wazi wanaenda kukojoa wanaludi wanaendelea kunywa

Sisi tunawachola tu ,😄😄
Kuna lofa moja lilipanga vigheto flan vya kizamani vipo Kama police post mlango una komeo nje.

Jamaa akivaa sare anajiona mwaamba. Kuna siku aliwapa madogo kipigo.
Wakammendea siku hiyo karudi kuzama ndani to madogo wakamfungia komea kwa nje..... Walichoma pilipili kwenye kopo la Sadolin ....... Alilia kuomba msaada watu kimyaaa .... Walioenda kumtoa walimkuta anaunguruma Yani ilibakia kidogo arudishe namba.
 
😄😄😄

😂😂😂😂 Maisha haya sema Hawa jui tu
 
Back
Top Bottom