Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Kwahiyo Samia ameiba pesa akamgawia Mbowe bilioni 2. Yaani Samia ni mwizi?Ninyi fanyweni mazuzu tu....mwenzenu kakunja "bilioni 2" mfukoni mwake [emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inabidi tukumbuke maneno ya McCain wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais Marekani 2008. Alipoambiwa na mwanamke wa kizungu kuwa hawezi kumuamini Obama kwa sababu Obama ni muarabu, McCain alimnyang'anya mike na kusema " hapana maam, Obama ni mtu muungwana, mtu wa familia na ni raia wa Marekani ambae tuna tofauti tu za kisiasa". Mheshimiwa Rais angetusaidia sana kama angemwambia Makalla kuwa yeye anamjua Mbowe na ni mtu muungwana kama walivyo wanachama wengi wa Chadema. Kukaa kwake kimya kutawapa ujasiri watu wa namna hii kuendeleza siasa za maji taka.Halafu ni wazi anamtuhumu pia na Rais na Mwenyekiti wake wa chama kutoa rushwa.
Ukishakuwa mwana CCM akili yote huota mbawa! Adui mkubwa wa taifa hili ni CCM!
Jamaa IQ yake Ni ndogo kama ya Msukuma, yeye anaongelea watu wakati watu wanaongelea Taifa kichwa kisodaHv suala la Ruzuku ni la kikatiba ama ni upendeleo?
Suala la Bandari lina uhusiano gani na Ruzuku?
Yani kwa uelewa wako MASLAHI YA TAIFA yanalingana na MASLAHI YA CHAMA CHA SIASA?
Mkuu acha utani asee
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".
Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.
Chanzo: TBC1
Kilichonifanya nisiisapoti CCM au kuchukua nafasi ni kwasababu eti ni lazima nijitoe akili na elimu yang niiache nyumban nije bila akili. Nilipoambiwa ivo ikabid niachanae nao niendelee na business zang.Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".
Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.
Chanzo: TBC1
Makala kamkosea sana Mh. RaisKwahiyo Samia ameiba pesa akamgawia Mbowe bilioni 2. Yaani Samia ni mwizi?
Hujaelewa tu ?!!!Kwahiyo Samia ameiba pesa akamgawia Mbowe bilioni 2. Yaani Samia ni mwizi?
UKIKAA kwenye nyumba ya vioo usiutake ugomvi wa mawe...Mbowe si muungwana....angekuwa muungwana asingembagua mh.Rais Samia kwa uzanzibari wake....Inabidi tukumbuke maneno ya McCain wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais Marekani 2008. Alipoambiwa na mwanamke wa kizungu kuwa hawezi kumuamini Obama kwa sababu Obama ni muarabu, McCain alimnyang'anya mike na kusema " hapana maam, Obama ni mtu muungwana, mtu wa familia na ni raia wa Marekani ambae tuna tofauti tu za kisiasa". Mheshimiwa Rais angetusaidia sana kama angemwambia Makalla kuwa yeye anamjua Mbowe na ni mtu muungwana kama walivyo wanachama wengi wa Chadema. Kukaa kwake kimya kutawapa ujasiri watu wa namna hii kuendeleza siasa za maji taka.
Amandla...
Unaongelea akili gani ?!!![emoji1787][emoji1787]Kilichonifanya nisiisapoti CCM au kuchukua nafasi ni kwasababu eti ni lazima nijitoe akili na elimu yang niiache nyumban nije bila akili. Nilipoambiwa ivo ikabid niachanae nao niendelee na business zang.
Kujipendekeza...Kujipendekeza pro max

Mbowe amembagua vipi Mh. Rais Samia kwa uzanzibari wake? Alichofanya ni kutoa tahadhari kuwa suala la bandari linaweza kuleta taswira mbaya kwa sasa wahusika wakuu ( Rais na Waziri) wanatoka Zanzibar na suala lenyewe linahusu bandari za Tanzania bara peke yake. Amesema kuwa yeye na chama chake wameanza kusikia hisia hizo kuwa wahusika wakuu wamefanya hivyo kwa sababu hawana mapenzi na Tanzania bara. Kutoa tahadhari na ushauri kwa mpinzani wako ni jambo la kiungwana.UKIKAA kwenye nyumba ya vioo usiutake ugomvi wa mawe...Mbowe si muungwana....angekuwa muungwana asingembagua mh.Rais Samia kwa uzanzibari wake....
Mbowe si muungwana....angekuwa muungwana asingesema Rais wa nchi anaiuza nchi kwa waarabu....hizi kauli si nyepesi...usirahisishe ndugu....usirahisishe kabisaaa....
Mbowe si muungwana anapenda siasa za kusukumana.....
Mbowe si muungwana....alikuwa na kesi ya ugaidi....sama na mh.Rais SSH leo angekuwa "ndani".....
Mbowe si muungwana usimtetee KITOTO hapa.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hizi shutuma ni za miaka mingi. Hata Lijualikali wakati anahamia kwenu alisema kuwa ana ushahidi kuwa Mbowe ni fisadi. Takukuru wakasema watalifanyia kazi. Mpaka leo kimya.Hujaelewa tu ?!!!
Fedha ya ruzuku ya CDM...bwamkubwa kaichepushia akaunti yake binafsi....ila atawarudishia CDM....baada ya kulamba fedha nyingi SANA huko anakowatumikia....anawatumikia wenye kupinga uwekezaji wa hapa waarabu wa DP WORLD....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa kauli kama hii toka kwa think tank wa uvccm ni dhahir kbs. Hutakiw kua na akili au usomi huko kwenu, kikubwa wee praise and worship utakula mpaka usaze!!Unaongelea akili gani ?!!![emoji1787][emoji1787]
CCM ni chama cha siasa...siasa ni watu na hisia zao.....
Unataka CCM iendeshwe kwa akili za kanuni za HESABU ,BIOLOGY na PHYSICS?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Ukitaka kisiwe ni chama cha siasa na kipotee....tukupe wewe "mwenye akili ulioambiwa uziache nyumbani" na maprofesa wa uhandisi wa pale UDSM...mkiendeshe miezi 6 tu halafu tujionee huo MWEREKA wenu.....
Mh.JK alipata kusema "huo ni upepo tu"......[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kauli kama hii toka kwa think tank wa uvccm ni dhahir kbs. Hutakiw kua na akili au usomi huko kwenu, kikubwa wee praise and worship utakula mpaka usaze!!