Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Kuna ombwe la TUME HURU YA UCHAGUZI, hii iliyowekwa mfukoni na Rais itatuvuruga sana.
 
Akifanya JIWE hajavunja taratibu lakini same thing akifanya Lissu anavunja taratibu; that is not having a level playing field!!
Huu sasa ubishi for the sake of ubishi kanuni zipo wazi kasome kuanzia section 40 imeelezewa jinsi campaign zitakavyo simamiwa msimu wa uchaguzi utakapoanza.

Mgombea pekee aliyevunja kanuni mpaka sasa ni Tundu Antipas Lissu.
 
Hatukani, anatuelezea namna mlivyo amuru achapwe zile mvua za risasi mchana kweupe. Huo ndio utawala bora? nchi hii sio mali ya CCM pekee sheiza.
Huyo alitaka mwenyewe..mwili ulikuwa unamuwasha.

Inawezekana alikula hela ya watu akawapiga chini kwenye kesi.
 
Hiyo barua ni kwa ajili ya mtu kama wewe usioweza kufikiri.

Tatizo lenu serikali ikisema itumie busara na kuachia tu watu wafanye mambo ata kama kinyume na sheria mnaanza kudai mnaogopwa sijui Amsterdam kasaidia etc with nonsense.

Wakichukua hatua mnaonewa ni shida tupu; ni mahakama gani kwa mfano huyo Amsterdam anaweza fungua kesi unadhani?
The Hague, yuko wapi charles Taylor, Slovodan milosovic,?
 
Kila mtu alichukua fomu akaonekana hata lipumba na membe tuliwaona.

Je baada ya kuchukua fomu nini kiliendelea au nini kinaendelea?? Tunaanzia kutoka hapo.
Mkuu haya ni mawazo yako au ndivyo Sheria inavyosema kwamba piga kampeni siku uliyochukua form then siku nyingine wewe kaa kimya Ila tumia wanamziki,viongozi wa dini na kina Mo kwenye matamasha ya Simba
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.

Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.

Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.

Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel and that belief is growing as days go kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight but at some point he needs to come down to earth.

Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
kavunja kanuni ipi
 
Huyo alitaka mwenyewe..mwili ulikuwa unamuwasha.

Inawezekana alikula hela ya watu akawapiga chini kwenye kesi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnahamisha goli sio??? Si mmesema alikuwa msaliti????

Mtajua hamjui mwaka huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnahamisha goli sio??? Si mmesema alikuwa msaliti????

Mtajua hamjui mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji3]
Usaliti hata kwa wateja wake pia huo ni usaliti.
 
Hiyo legal firm yaweza tumika kwenye kumpeleka jiwe na IGP kwenye mahakama ya International Criminal Court the Hague. Partner wake watatu yaani Amsterdam, Daniel A. Vazques na Andrew J. Durkovic wana uzoefu kwenye hizo kesi.

Msichukulie poa kihivyo.
Hapa hawa renowned lawyers wanaandaa mazingira mapema. CCM and NEC, whatch your back.
 
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf

Soma kuanzia section 40 ☝nani mwenye jukumu la kuratibu campaign na jukumu la kutangaza tarehe rasmi za kuanza campaign.

Alamsiki
We jamaa ni kilaza namba 1. Nadhani umemzidi hata Yehodaya, kilaza mkuu wa Lumumba humu

Hiyo section uliyoleta ndo inasema kipindi cha kukusanya wadhimini hakuna kampeni??????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli Lumumba mna hali mbaya. Hizo section hapo zinaelezea utaratibu wa kampeni baina ya vyama kipindi cha kampeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kwa jinsi gani kampeni zao ziratibiwe bila kuingiliana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kanywe maji ukalale kilaza mkubwa wa lumumba weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€
 
Huu sasa ubishi for the sake of ubishi kanuni zipo wazi kasome kuanzia section 40 imeelezewa jinsi campaign zitakavyo simamiwa msimu wa uchaguzi utakapoanza.

Mgombea pekee aliyevunja kanuni mpaka sasa ni Tundu Antipas Lissu.

Nyie wafuasi wa JIwe are busy protecting him from serious political competition knowing that he is too weak to stand the heat!!! If you think he is popular let the people decide and not you his followers.

Kule ccm mliweka form ya mtu mmoja na huku nako mnataka kuleta mizengwe yenu JIWE ashindane na wakina Hashim Rungwe na Lipumba!!! Acheni hizo.
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.

Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.

Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.

Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel at his whim and that belief is ever growing as days go by yote kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight, but at some point he needs to come down to earth.

Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
Mawazo hasi kabisa
 
Back
Top Bottom