Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hujui kinachoendelea tulia. Kuna mtu atakimbia Chamwino pale mwaka huu πππAta ingekuwa kweli usemacho huyo Amsterdam hana mamlaka hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kinachoendelea tulia. Kuna mtu atakimbia Chamwino pale mwaka huu πππAta ingekuwa kweli usemacho huyo Amsterdam hana mamlaka hayo.
Huu sasa ubishi for the sake of ubishi kanuni zipo wazi kasome kuanzia section 40 imeelezewa jinsi campaign zitakavyo simamiwa msimu wa uchaguzi utakapoanza.Akifanya JIWE hajavunja taratibu lakini same thing akifanya Lissu anavunja taratibu; that is not having a level playing field!!
Huyo alitaka mwenyewe..mwili ulikuwa unamuwasha.Hatukani, anatuelezea namna mlivyo amuru achapwe zile mvua za risasi mchana kweupe. Huo ndio utawala bora? nchi hii sio mali ya CCM pekee sheiza.
The Hague, yuko wapi charles Taylor, Slovodan milosovic,?Hiyo barua ni kwa ajili ya mtu kama wewe usioweza kufikiri.
Tatizo lenu serikali ikisema itumie busara na kuachia tu watu wafanye mambo ata kama kinyume na sheria mnaanza kudai mnaogopwa sijui Amsterdam kasaidia etc with nonsense.
Wakichukua hatua mnaonewa ni shida tupu; ni mahakama gani kwa mfano huyo Amsterdam anaweza fungua kesi unadhani?
Mkuu haya ni mawazo yako au ndivyo Sheria inavyosema kwamba piga kampeni siku uliyochukua form then siku nyingine wewe kaa kimya Ila tumia wanamziki,viongozi wa dini na kina Mo kwenye matamasha ya SimbaKila mtu alichukua fomu akaonekana hata lipumba na membe tuliwaona.
Je baada ya kuchukua fomu nini kiliendelea au nini kinaendelea?? Tunaanzia kutoka hapo.
kavunja kanuni ipiICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.
Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.
Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.
Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.
Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel and that belief is growing as days go kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight but at some point he needs to come down to earth.
Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissuβs mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
ππππ mnahamisha goli sio??? Si mmesema alikuwa msaliti????Huyo alitaka mwenyewe..mwili ulikuwa unamuwasha.
Inawezekana alikula hela ya watu akawapiga chini kwenye kesi.
Walifunguliwa kesi na ICC na nchi zao iliamua kuwapeleka wenyewe. Vinginevyo as days go ICC is becoming more like a toothless dog.The Hague, yuko wapi charles Taylor, Slovodan milosovic,?
Waulize acacia wako wapi leo.Magufuli Hana exposure pia elimu yake ya kuunga unga,
Usaliti hata kwa wateja wake pia huo ni usaliti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnahamisha goli sio??? Si mmesema alikuwa msaliti????
Mtajua hamjui mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji3]
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdfkavunja kanuni ipi
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf
Soma kuanzia section 40 [emoji121]nani mwenye jukumu la kuratibu campaign na jukumu la kutangaza tarehe rasmi za kuanza campaign.
Alamsiki
We jamaa ni kilaza namba 1. Nadhani umemzidi hata Yehodaya, kilaza mkuu wa Lumumba humuhttps://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf
Soma kuanzia section 40 βnani mwenye jukumu la kuratibu campaign na jukumu la kutangaza tarehe rasmi za kuanza campaign.
Alamsiki
Ila inaendeshwa na mikopo ya mabeberuNchi haiendeshwi na barua za mabeberu.
Huu sasa ubishi for the sake of ubishi kanuni zipo wazi kasome kuanzia section 40 imeelezewa jinsi campaign zitakavyo simamiwa msimu wa uchaguzi utakapoanza.
Mgombea pekee aliyevunja kanuni mpaka sasa ni Tundu Antipas Lissu.
Mawazo hasi kabisaICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.
Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.
Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.
Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.
Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel at his whim and that belief is ever growing as days go by yote kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight, but at some point he needs to come down to earth.
Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissuβs mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
Jiwe na TUME YAKE YA MFUKONI ndio wanaotaka kutuvuruga Mkuu.Kuna kitu hapa sio bure,inawezekana tulishauzwa tayari!