Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Kwahio mkuu nawewe hutumia madawa ili uende round nyingi na u last longer???
Hapana Mkuu, sijawahi kutumia dawa.

Kwanza nitumie dawa ili ni last longer kumfurahisha mwenza alafu baadaye nafia kifuani kwake then anapata mtu mwingine wa Kuni replace. Bora niendelee na dakika 1 yangu tu ili mradi naenjoy πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒ
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kumbe Una wivuu mkuu! Kama hutumii vizuri
Si mnataka kukomoa wenyewe!! Unakamia hadi akitoka hapo hooiii!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kumbe Una wivuu mkuu!
Si mnataka kukomoa wenyewe!! Unakamia hadi akitoka hapo hooiii!
Nahisi wivu utakuja kuniua siku moja, nina wivu kama mdudu Mmoja anaitwa Nyegere. Yeye hata jani likimgusa Mke/Mchumba basi atalishughulikia πŸ™ˆ

Hayo mambo ya kukomoa wanayo Vijana, sisi Umri umeenda
 
Nahisi wivu utakuja kuniua siku moja, nina wivu kama mdudu Mmoja anaitwa Nyegere. Yeye hata jani likimgusa Mke/Mchumba basi atalishughulikia πŸ™ˆ

Hayo mambo ya kukomoa wanayo Vijana, sisi Umri umeenda
Wee kumbe!!
Ka wivu ka zuri kidogo mtu anaona kumbe babe Wangu huwa ananijali na kunipenda walau! Nae anajisikia Like Wow!!
 
Wee kumbe!!
Ka wivu ka zuri kidogo mtu anaona kumbe babe Wangu huwa ananijali na kunipenda walau! Nae anajisikia Like Wow!!
Sasa kwa Dunia ya saivi ukipenda kwa kiwango changu, huchelewi kufa.

Unarudi ghafla nyumbani unakuta watu wanakuibia πŸ™†
 
Nimesoma hii nipo hospital nimecheka mpaka watu wananiangalia
 
Hapana mkuu Watu wako watakua ni waaminifu pia!
Hahaha..............sitaki kuamini Sana kuhusu hilo πŸ€—

Useme natumia njia ya kizamani ili nisiumizwe moyo, Nikiwa narudi nyumbani lazima ninunue chochote Cha kushika Mkononi, nikifika karibu na nyumbani namtuma Mtoto avipeleke nyumbani.

Hata kama Sina Cha kubeba, namtuma Mtoto hata koti langu apeleke nyumbani, lengo ni kuwa kama Kuna Mgeni nyumbani apate upenyo wa kukimbia.

Maisha matamu eti, mambo ya kufa kwa Presha na utu uzima huu nani anataka πŸ€ͺπŸ™ˆ
 
Hahahaaa!! Hii mbinu nimeikubali ! Naona Hatutaki presha za kujitafutia !Safiii
 
Wale waliotuimbia Beer tamu hawakuimba bahati mbaya eti πŸ™ˆπŸ€Έ
Hahahaaa..bia tamu kwa wanaokunywa ukiwa na stress zako mamsap kakuchanganya mara mchepuko kazingua kazini wamekuzingia aaahhh kwaraha zako unapoteza mawazo!!
 
Exactly. Sex is for making babies only. If you already have them, there is no need to do it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…