Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hapana Mkuu, sijawahi kutumia dawa.Kwahio mkuu nawewe hutumia madawa ili uende round nyingi na u last longer???
Kwanza nitumie dawa ili ni last longer kumfurahisha mwenza alafu baadaye nafia kifuani kwake then anapata mtu mwingine wa Kuni replace. Bora niendelee na dakika 1 yangu tu ili mradi naenjoy 🙈🏃🏃🏃