Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Kwahio mkuu nawewe hutumia madawa ili uende round nyingi na u last longer???
Hapana Mkuu, sijawahi kutumia dawa.

Kwanza nitumie dawa ili ni last longer kumfurahisha mwenza alafu baadaye nafia kifuani kwake then anapata mtu mwingine wa Kuni replace. Bora niendelee na dakika 1 yangu tu ili mradi naenjoy 🙈🏃🏃🏃
 
😆😆😆😆😆😅😅😅 kumbe Una wivuu mkuu! Kama hutumii vizuri
Si mnataka kukomoa wenyewe!! Unakamia hadi akitoka hapo hooiii!
 
😆😆😆😆😆😅😅😅 kumbe Una wivuu mkuu!
Si mnataka kukomoa wenyewe!! Unakamia hadi akitoka hapo hooiii!
Nahisi wivu utakuja kuniua siku moja, nina wivu kama mdudu Mmoja anaitwa Nyegere. Yeye hata jani likimgusa Mke/Mchumba basi atalishughulikia 🙈

Hayo mambo ya kukomoa wanayo Vijana, sisi Umri umeenda
 
Nahisi wivu utakuja kuniua siku moja, nina wivu kama mdudu Mmoja anaitwa Nyegere. Yeye hata jani likimgusa Mke/Mchumba basi atalishughulikia 🙈

Hayo mambo ya kukomoa wanayo Vijana, sisi Umri umeenda
Wee kumbe!!
Ka wivu ka zuri kidogo mtu anaona kumbe babe Wangu huwa ananijali na kunipenda walau! Nae anajisikia Like Wow!!
 
Wee kumbe!!
Ka wivu ka zuri kidogo mtu anaona kumbe babe Wangu huwa ananijali na kunipenda walau! Nae anajisikia Like Wow!!
Sasa kwa Dunia ya saivi ukipenda kwa kiwango changu, huchelewi kufa.

Unarudi ghafla nyumbani unakuta watu wanakuibia 🙆
 
Mapenzi bwana.

Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.

Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.

Juma alisema yeye dhamira yake ilikuwa kuifikia G-SPOT ya mpenzi wake huyo na hakujua kama kumkunja vile mpenzi wake kungepelekea kushtua pingiri za uti wa mgongo.

Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.

Daaah balaa tupu.
Nimesoma hii nipo hospital nimecheka mpaka watu wananiangalia
 
Hapana mkuu Watu wako watakua ni waaminifu pia!
Hahaha..............sitaki kuamini Sana kuhusu hilo 🤗

Useme natumia njia ya kizamani ili nisiumizwe moyo, Nikiwa narudi nyumbani lazima ninunue chochote Cha kushika Mkononi, nikifika karibu na nyumbani namtuma Mtoto avipeleke nyumbani.

Hata kama Sina Cha kubeba, namtuma Mtoto hata koti langu apeleke nyumbani, lengo ni kuwa kama Kuna Mgeni nyumbani apate upenyo wa kukimbia.

Maisha matamu eti, mambo ya kufa kwa Presha na utu uzima huu nani anataka 🤪🙈
 
Hahahaaa!! Hii mbinu nimeikubali ! Naona Hatutaki presha za kujitafutia !Safiii
 
Wale waliotuimbia Beer tamu hawakuimba bahati mbaya eti 🙈🤸
Hahahaaa..bia tamu kwa wanaokunywa ukiwa na stress zako mamsap kakuchanganya mara mchepuko kazingua kazini wamekuzingia aaahhh kwaraha zako unapoteza mawazo!!
 
Mimi hua natumia hii na shingo haiumi
JamiiForums-508302004.jpg
 
Hayo mambo yapo kwa vijana zaidi [emoji2957][emoji2957]

Ila lengo la tendo lenyewe ilikuwa kuzaana tu. Binadamu ndiyo tumegeuza kuwa ni starehe hadi kufikia stage tunatumia Madawa artificial kuweza kwenda round nyingi au ku last longer.

Wakati ingekuwa ni kukamilisha lengo la kuzaana manake hata kama una fika mshindo baada ya dakika 1 kama ni mimba inatungwa vizuri tu [emoji85][emoji125][emoji125]
Exactly. Sex is for making babies only. If you already have them, there is no need to do it
 
Back
Top Bottom